ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahama Bado sana kushindana na Miji ya Kusini.Tuko tunakamilisha kipande cha SGR Mwanza - Isaka - Tabora. Tunahamia kwenye michongoko...
Kwa Mapato haya ya Ndani Bilioni 11 ,Je Kahama itakuwa na bei ndogo ya Fremu? 👇👇Usifananishe tunduma na vitu vya kipuuzi
Kwanza picha linaanza.ulizia bei ya frem ya biashara tunduma sh ngapi na kahama sh ngapi .uje hapa sasa nianze kukueleza
Nairobi Ina Madini? Ipo pwani? Acheni visingizio vya kipuuzi,Kahama hamna kitu huko ni sawa na Gulio tuuKama sekta ya madini tungewekeza kweli serious kama Sauzi,nafikiri mji wa Kahama ungekuwa unakimbizana na Dar. Angalia mfano Sauzi, Jo'berg haiko pwani lakini ndio jiji kuu la biashara,hii ni kutokana na madini,ni jiji ambalo Durban,Richards Bay,East London,Port Elizabeth wala Cape Town hazioni ndani kwa Jo'berg.
Kwa miji kama Kahama,Geita,Chunya,Mwadui kama tungekuwa na sera nzuri za madini ni miji ambayo ingekuwa mbali sana kimaendeleo kwa sababu inazalisha madini
Achana na google.leta jibuKwa Mapato haya ya Ndani Bilioni 11 ,Je Kahama itakuwa na bei ndogo ya Fremu? 👇👇View attachment 3075391
Google gani? Jibu la nini?Achana na google.leta jibu
Sipendi kubishana na mtu ambae hajui Jambo na Hana fact yoyote.Google gani? Jibu la nini?
Kahama Bado sana kushindana na Miji ya Kusini.
Uhakika wa usafiri ,zaidi ya gari 10 zinatoka na kuingia Dar-Tunduma daily,Kahama ziko ngapi? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9pdEI9K1D1/?igsh=MWc3Y2xyd3F0b21idg==
Mbali wapi huko hata takwimu huna? 😂😂Mkuu hapo kwnye ipengele Cha mabasi yanayokwenda dar achana napo Wala usizingumzie. Kahama ipo mbali kwenye maswala ya usafiri hasa kwenye mikoa tofaut sio dar tu, kuanzia mwanza, Arusha , KILIMANJARO, dodoma na mpka dar.
Labda tuzungumzie vipengele vingine.
Ungezungumzia kipengele kingine mkuu hapo kwenye maswala ya mabasi Wala haiwezi kuifikia kahamaMbali wapi huko hata takwimu huna? 😂😂
Mdomo si ni Mali Yako na unaweza payuka lolote.
Tuanze kutaja kampuni Moja baada ya nyingine hapa
Tunduma-Dar
-New force mabasi 3*2
-ABC Mabasi 3*2
-Abood 1
Weka Mabasi,wenzako walishachemka kitambo👇👇Ungezungumzia kipengele kingine mkuu hapo kwenye maswala ya mabasi Wala haiwezi kuifikia kahama
Weka Mabasi,wenzako walishachemka kitambo👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCG8ZSPNKZk/?igsh=MXJrdDFheDB1c2plcw==