Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Usifananishe tunduma na vitu vya kipuuzi
Kwanza picha linaanza.ulizia bei ya frem ya biashara tunduma sh ngapi na kahama sh ngapi .uje hapa sasa nianze kukueleza
Kwa Mapato haya ya Ndani Bilioni 11 ,Je Kahama itakuwa na bei ndogo ya Fremu? 👇👇
Screenshot_20240806-203752.jpg
 
Kama sekta ya madini tungewekeza kweli serious kama Sauzi,nafikiri mji wa Kahama ungekuwa unakimbizana na Dar. Angalia mfano Sauzi, Jo'berg haiko pwani lakini ndio jiji kuu la biashara,hii ni kutokana na madini,ni jiji ambalo Durban,Richards Bay,East London,Port Elizabeth wala Cape Town hazioni ndani kwa Jo'berg.
Kwa miji kama Kahama,Geita,Chunya,Mwadui kama tungekuwa na sera nzuri za madini ni miji ambayo ingekuwa mbali sana kimaendeleo kwa sababu inazalisha madini
 
Nairobi Ina Madini? Ipo pwani? Acheni visingizio vya kipuuzi,Kahama hamna kitu huko ni sawa na Gulio tuu
 
Kahama Bado sana kushindana na Miji ya Kusini.

Uhakika wa usafiri ,zaidi ya gari 10 zinatoka na kuingia Dar-Tunduma daily,Kahama ziko ngapi? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9pdEI9K1D1/?igsh=MWc3Y2xyd3F0b21idg==

Mkuu hapo kwnye ipengele Cha mabasi yanayokwenda dar achana napo Wala usizingumzie. Kahama ipo mbali kwenye maswala ya usafiri hasa kwenye mikoa tofaut sio dar tu, kuanzia mwanza, Arusha , KILIMANJARO, dodoma na mpka dar.

Labda tuzungumzie vipengele vingine.
 
Mbali wapi huko hata takwimu huna? 😂😂

Mdomo si ni Mali Yako na unaweza payuka lolote.

Tuanze kutaja kampuni Moja baada ya nyingine hapa

Tunduma-Dar
-New force mabasi 3*2
-ABC Mabasi 3*2
-Abood 1
 
Ungezungumzia kipengele kingine mkuu hapo kwenye maswala ya mabasi Wala haiwezi kuifikia kahama
 
Back
Top Bottom