julius nashon
Member
- Mar 1, 2020
- 10
- 3
Mfano me naona nilienda kukadiriwa
Wakaniuliza kiasi cha mtaji,nikawaeleza
Lakn kodi niliyoambiwa na Biashara yangu
Vitu viwili tofaut, rais wetu anasema
Acheni kukaa ofisini muwatembelee
Watu muone na msikilize changanoto na utofaut wa mitaji yao Na wengine,rais wetu Anania nzur ila watumishi wake wanatuumiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unaanza kukadiriwa au ulishawahi kukadiriwa vipindi vya awali?
Tusubiri jibu lake.
Ndiyo maana biashara za magendo haziwezi kuisha. Maana biashara halali haiwezi kumtoa Mtanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana,ungejaribu kuongea nao vizuri
Endelea kufuata kanuni zenu za nchi huku ukiteketea...Unajua Maana ya kuomba nao vizr
Lazima utumike tofaut na kanun za nch
Sent using Jamii Forums mobile app
Mze Ukiomb unaambiwaEndelea kufuata kanuni zenu za nchi huku ukiteketea...
OMBA MZEEEE WAKUPUNGUZIE MZIGO HUO MAISHA SIYO HAYA
Sent using Jamii Forums mobile app