Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

julius nashon

Member
Joined
Mar 1, 2020
Posts
10
Reaction score
3
Halmashauri ya mji wa Kahama na TRA, fanyeni tathmin ambazo Haziwezi kuwa mzigo Kwa wafanyabiashara, haiwezekani mtu anajipeleka kukadiriwa halafu mnaweka kodi pasipo maridhiano mazuri wakati kumfanya Makadirio, mtu anaenda kulipa lakini Moyo wake haujapendezwa na kodi
Ya makadirio aliyofanyiwa, hii haipendezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano me naona nilienda kukadiriwa
Wakaniuliza kiasi cha mtaji,nikawaeleza
Lakn kodi niliyoambiwa na Biashara yangu
Vitu viwili tofaut, rais wetu anasema
Acheni kukaa ofisini muwatembelee
Watu muone na msikilize changanoto na utofaut wa mitaji yao Na wengine,rais wetu Anania nzur ila watumishi wake wanatuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ngoja nikuelewe hivyohivyo... Kwan kodi kila mtu anakadiriwa kiasi chake huko?
 
Pole Sana,ungejaribu kuongea nao vizuri
 
Mfano me naona nilienda kukadiriwa
Wakaniuliza kiasi cha mtaji,nikawaeleza
Lakn kodi niliyoambiwa na Biashara yangu
Vitu viwili tofaut, rais wetu anasema
Acheni kukaa ofisini muwatembelee
Watu muone na msikilize changanoto na utofaut wa mitaji yao Na wengine,rais wetu Anania nzur ila watumishi wake wanatuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ndio unaanza kukadiriwa au ulishawahi kukadiriwa vipindi vya awali?
 
Awali nilikuwa nafanyia Biashara yangu mkoa tofaut,na nilikuwa nalipa Kwa kiasi kulingana na mtaji wang,sasa baada ya kuja huku na tini number yangu nikaifanyia
Mabadiliko ya kufanyia Biashara eneo jingne,na penyew kukadiriwa muhim,
Sasa Lukas mezan Kwa ajili ya mazumzo alafu,upande flan unang'ng'aniza vitu kiukweli,huo ni unyonyaj, na nina mashaka
Kuendelea kukua kwa Biashara yang
Tusubiri jibu lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida ni wafanyabiashara wenyewe kujikweza mbele ya maafisa wa tra, elimu inatakiwa, we kama mtaji wako milioni kumi, ukifika tra waambie milioni 5, kama unauza elfu 50 kwa siku, waambie elfu ishirini, hata makadirio yatakuwa ya chini
 
Back
Top Bottom