Kahama wanavuna mpunga mwezi gani?

Kahama wanavuna mpunga mwezi gani?

Bei ya kahama Sasa hivi nimepiga simu mashineni Ni kuanzia 1300 kg 1 mpaka super ule unaitwa belenge( sijui jina kama nimepatia) 2400 wewe Sasa.
Hivo Kuna wa ,1300,1400,1500,1600,1700,1800,2000,2400 bei tofauti kutokana na mchele ulivotoka
 
Back
Top Bottom