nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 664
- 1,050
Bei ya kahama Sasa hivi nimepiga simu mashineni Ni kuanzia 1300 kg 1 mpaka super ule unaitwa belenge( sijui jina kama nimepatia) 2400 wewe Sasa.Nataka mchele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ya kahama Sasa hivi nimepiga simu mashineni Ni kuanzia 1300 kg 1 mpaka super ule unaitwa belenge( sijui jina kama nimepatia) 2400 wewe Sasa.Nataka mchele
Hivo Kuna wa ,1300,1400,1500,1600,1700,1800,2000,2400 bei tofauti kutokana na mchele ulivotokaBei ya kahama Sasa hivi nimepiga simu mashineni Ni kuanzia 1300 kg 1 mpaka super ule unaitwa belenge( sijui jina kama nimepatia) 2400 wewe Sasa.
Acha roho mbaya wakulima tunamjibu hapaKwa kweli Msukuma ataendelea kuwa bora kwa ujengaji hoja bungeni, yaani a graduate to be unauliza swali ambalo linakuhitaji ufanye simple research?
Kwa nini usiende moro mkuu au mbeyaNatafuta ya kahama