Mkazi wa Kibera hawezi mudu kwenda uwanjani.Kenya huwezi kuona kitu kama hiki ambacho ndio mtaji wa soka ili liwe na hadhi na sio kenya tu hapa A.mashariki na Kati hakuna zaidi ya Bongo tu View attachment 1545827View attachment 1545828
Mumiweke carantini mnafikiri atawapa tena msaada bure wa majiHuyo Kahata mwenyewe akirudi tutamtia kwenye karantini ya siku 14 ili kuhakikisha hana corona
Wewe unafanya kazi gani?
[emoji3][emoji3][emoji3] ndo nashangaa mwanauchumi gani asiyejua kwanini sportpesa umekimbia Kenya ije kusaidia TZHuyu jamaa ukiigusa elimu yake huwa anaruka km umemgusa kalio, au ni ngumbaru huyu hajaenda shule anatupiga fix tu humu[emoji3][emoji3][emoji3]
Tena kaa ukijua kiingilio Kwa bei ya chini ni KES 334 sasa cjui kama Wakenya wengeweza kujaa kama hivyo , hii ndio sababu ya sportpesa kukimbilia bongoMimi kuwa mchumi inahusiana vipi na mada husika? Jikite kwenye mada.
RFUEA na kasarani Hujaa rugby funs always na less kiingilio huwa ksh.1000Tena kaa ukijua kiingilio Kwa bei ya chini ni KES 334 sasa cjui kama Wakenya wengeweza kujaa kama hivyo , hii ndio sababu ya sportpesa kukimbilia bongo
Unacompare ligi zao na ujinga ziko Africa tena east Africa?Wewe hujui soka. Portugal na Argentina kuna ligi gani nzuri? Best players wao wazuri wapo England,Spain,Italy.
Unaelewa kiingilio cha chini ? Kama hujui bc labda nikufahamishe huu uwanja ndio uwanja mkubwa hapa A. Mashariki unachukua watu zaidi ya elfu 60 sasa humu kuna viti tofauti tofauti kama vile kawaida ndio hiyo kes 334 kuna ksh 1000, 1500 mpaka kes 7200 sasa unasema sijui tunauwanja unaitwa kisirani ujaa wakati uwanja wenyewe unachukua watu elfu 20 tuRFUEA na kasarani Hujaa rugby funs always na less kiingilio huwa ksh.1000
Sembuse ksh.300!
Na kwa akili yako RFuea ziko hadi za ksh 25,000Unaelewa kiingilio cha chini ? Kama hujui bc labda nikufahamishe huu uwanja ndio uwanja mkubwa hapa A. Mashariki unachukua watu zaidi ya elfu 60 sasa humu kuna viti tofauti tofauti kama vile kawaida ndio hiyo kes 334 kuna ksh 1000, 1500 mpaka kes 7200 sasa unasema sijui tunauwanja unaitwa kisirani ujaa wakati uwanja wenyewe unachukua watu elfu 20 tu
Wanalipwa sh ngp hao wacheza rugby hebu weka hapa mishahara yao na ulete credible source ili tulinganishe na wachezaji mpira wa Tz.Na kwa akili yako RFuea ziko hadi za ksh 25,000
Rugby ni expensive sport si kama backward football(backward funs too)
Jifanyie research,Wanalipwa sh ngp hao wacheza rugby hebu weka hapa mishahara yao na ulete credible source ili tulinganishe na wachezaji mpira wa Tz.
Anhaa kumbe ni kwa kenya.Jifanyie research,
But jua league ya rugby Kenya inalipa more than. Football by far
Mwendawazimu huyu , we kiingilio kiwe kes 25,000 je mtumishi wa umma analipwa sh ngapi?Wanalipwa sh ngp hao wacheza rugby hebu weka hapa mishahara yao na ulete credible source ili tulinganishe na wachezaji mpira wa Tz.
Soon wachezaji wa Kenya wataanza kulalamika kwamba ligi ya Tanzania inapewa airtime kubwa kuliko KPLNaona Mbolabilika na The best 007 wanatokwa na povu leo full mzuka. Sijui wamekula Omo au Geisha. Watujuze tafadhali.
Mimi najitayarisha kuwatch champions league finals leo usiku.
Tanzanian Premier League is dominating East Africa media housesJifanyie research,
But jua league ya rugby Kenya inalipa more than. Football by far