Kahata atoa ya moyoni kuhusu ligi kuu ya Tanzania

Mimi kuwa mchumi inahusiana vipi na mada husika? Jikite kwenye mada.
Tena kaa ukijua kiingilio Kwa bei ya chini ni KES 334 sasa cjui kama Wakenya wengeweza kujaa kama hivyo , hii ndio sababu ya sportpesa kukimbilia bongo
 
RFUEA na kasarani Hujaa rugby funs always na less kiingilio huwa ksh.1000
Sembuse ksh.300!
 
Unaelewa kiingilio cha chini ? Kama hujui bc labda nikufahamishe huu uwanja ndio uwanja mkubwa hapa A. Mashariki unachukua watu zaidi ya elfu 60 sasa humu kuna viti tofauti tofauti kama vile kawaida ndio hiyo kes 334 kuna ksh 1000, 1500 mpaka kes 7200 sasa unasema sijui tunauwanja unaitwa kisirani ujaa wakati uwanja wenyewe unachukua watu elfu 20 tu
 
Na kwa akili yako RFuea ziko hadi za ksh 25,000
Rugby ni expensive sport si kama backward football(backward funs too)
 
Wanalipwa sh ngp hao wacheza rugby hebu weka hapa mishahara yao na ulete credible source ili tulinganishe na wachezaji mpira wa Tz.
 
Jifanyie research,
But jua league ya rugby Kenya inalipa more than. Football by far
 
Naona Mbolabilika na The best 007 wanatokwa na povu leo full mzuka. Sijui wamekula Omo au Geisha. Watujuze tafadhali.
Mimi najitayarisha kuwatch champions league finals leo usiku.
 
Njaaa haina baunsa...mnawafungia watu huku mkijua fika hamna uwezo wa kuwalisha bora muawachie wenyewe wakakitafutie...kuliko kufa huku wanajiona.
118456764_194712195416790_766811187413871658_n.jpg

117957237_1224924627865499_6417621658770515365_n.jpg
 
Back
Top Bottom