RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkazi wa Kibera hawezi mudu kwenda uwanjani.Kenya huwezi kuona kitu kama hiki ambacho ndio mtaji wa soka ili liwe na hadhi na sio kenya tu hapa A.mashariki na Kati hakuna zaidi ya Bongo tu View attachment 1545827View attachment 1545828