Kahata atoa ya moyoni kuhusu ligi kuu ya Tanzania

Kahata atoa ya moyoni kuhusu ligi kuu ya Tanzania

Halafu kampuni ya Kenya ya sportpesa ndio inafadhili simba. Wachezaji ni wa Kenya, kampuni ni ya Kenya. Duh! Kweli Kenya ni baba yenu
 
Kama ni Bora mbona national team ni choo,
Ubora huwa Sako Kwa bako hadi juu zaidi,
Fruits huonekana through national team.
Eg Nigeria SA Egypt league zao zimechangia pakubwa national team
Ligi uingereza epl ni moja kati ya ligi bora duniani lkn tm yao ya taifa ni ushuzi vp una la kuongezea??
 
Kwa hadhi ya epl unadhani kushiriki WC bila kuchukua ndo hadhi yao au co?
There can only be one winner but the fact of the matter is that Harambee Stars lazima ipindishe Taifa Rats mgongo upende usipende.
images (27).jpg
images (28).jpg
 
Halafu kampuni ya Kenya ya sportpesa ndio inafadhili simba. Wachezaji ni wa Kenya, kampuni ni ya Kenya. Duh! Kweli Kenya ni baba yenu
Haya maneno ya kwenye khanga, sportpesa imewekeza bongo ndio sababu kama hizo ligi ya bongo ni England ya A. Mashariki na kati kwani hao wamekuja kuwekeza tayar ligi ya bongo ipo bora tu na waliaza huko kwenu wameona wanapata hasara kwakua ligi yenu haina mvuto ndio wakakimbilia bongo ukitoka hapo unajiita mwanauchumi
 
Mimi kuwa mchumi inahusiana vipi na mada husika? Jikite kwenye mada.
 
Mimi kuwa mchumi inahusiana vipi na mada husika? Jikite kwenye mada.
Unaona kama bila ya sportpesa ligi ya bongo haiendi wakati sportpesa wamejaribu huko kuwekeza kwenye mpira wameona hasara kutokana ligi yenu haina ushindani ndio wakakimbilia bongo pia sababu ya wachezaji wa Kenya wenye ubora kujaa bongo ndio asili ya soka la bongo ni ngumu mchezaji mzuri wa bongo kucheza Kenya kutokana na ligi yenu haina pesa ushindani mdogo sasa sababu ya sportpesa na wachezaji wa Kenya kukimbilia bongo ni maslai yao sio kua inasaidia soka la bongo kama unavyomaanisha wewe .TZ ukiwekeza kwenye mpira inalipa pia mishahara mikubwa hata Gormahia wenyewe wamekili wameshindwa kumzuia sababu ya kipesa
 
Mimi kuwa mchumi inahusiana vipi na mada husika? Jikite kwenye mada.
Huyu jamaa ukiigusa elimu yake huwa anaruka km umemgusa kalio, au ni ngumbaru huyu hajaenda shule anatupiga fix tu humu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom