Kahawa ya Kenya ndani ya Wal-Mart

Value addition is the way for our countries to go.
340 grams of coffee at USD 3.14 or even after overhead and taxes its USD 1.50 for the processors is not bad, that would assure a price of at least USD 5 per kg.
Now multiply the USD 5 by the millions of kilos that TZ and Kenya export in raw form while the only processing required is roasting and packing.
Those in the diaspora should think of working on these market linkages on the marketing side and somehow we might begin getting our worth.
 
But honestly i love Africafe hizi za kwetu sijawai tumia nilianza na hio n it remained my favourite
 

I have seen those too even at Starbucks there is Tanzanian Coffee/Tea.

 

sasa Nyani hawa Nyang'au wanapeleka kawaha USA and then wanakufa na njaa, wanaagiza Unga wa Ugali toka Israel...kweli?
 
tz kuna haka kasamaki ka mwendo kasi kamekatwa apo ruvu
 
Tatizo la TZ tumeshindwa kabisa ku market bidhaa zetu duniani...
Hata Ethiopia Kahawa yao inauza kwenye migahawa mikubwa duniani...
Lakini haikuja kama accident...

Nilisoma story ya dada mmoja wa Ethiopia alikuwa mfanyakazi wa World Bank (ni mchumi mwenye PhD) aliyeamua kuacha kazi na kuanzisha NGO (kama nakumbuka) ya ku boost market ya kahawa ya Ethipia duniani...

Hivi leo wana supply kahawa kwenye migahawa kama Starbucks....

Lakini ukisubiri eti mteja akufate utasubiri milele maana coffee inazalishwa na nchi nyingi sana...
 

Weka vyeti vya bashite mezani ndio ushindane mengine

Usilete hoja zako za kipynguwani hapa
 
Utofauti mwingine ninao uona ni ukweli kuwa Kenya inawakulima ambao kilimo ni biashara haswa na hawa ni wazungu...
Mzungu hawezi lima bila kujua soko liko wapi...
Mfano mashamba mengi ya maua kule ni ya wazungu...
Sisi ni kilimo cha mtu mmoja mmoja ambaye anasuburi kuuzia walanguzi au kutorosha mipakani...
 
Swala usilolijua litakusumbua kwa taarifa yenu kahawa ya Tanzania ndio kahawa bora duniani trust me,

Note, nimezaliwa kwenye coffee estate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…