Kuna mtu muoga kugombea hata na kivuli chake...hata mitihani ali fail yoote maishani ....utaelewa kwa nini ana push awe alone.....Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ana Mamlaka ya kukifungia chama chochote kutoshiriki uchaguzi. Pili ni Kwa kutumia kifungu kipi na hicho kifungu hakiendi kinyume cha Katiba.