Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ana Mamlaka ya kukifungia chama chochote kutoshiriki uchaguzi. Pili ni Kwa kutumia kifungu kipi na hicho kifungu hakiendi kinyume cha Katiba.
amejipa cheo cha msajili wa vyama vya siasa
yule SIXTUS NYAHOZA anayepeleka barua chadema kwa bodaboda . bwana NYAHOZA Yeye amejiapiza kushughulika na chadema tu