Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.
Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri.
Suala la haki, usawa, na kusimamia maslahi ya mtumishi halipo kwake limepitwa na WAKATI.
Kuficha mafaili ya watumishi yeye amesomea kazi hiyo na haambiliki Wala haelewi, anasema anaripoti juu kwa juu.
Uongozi wa DED aliyeondoka ulimfanya Afisa utumishi huyu kuwa mungu mtu na amefikia mahali sasa anatisha watumishi kuwa anao uwezo wa kuwafukuza kazi bila mamlaka husika kumfanyia chochote.
Hali ya watumishi wa Halmashauri, wanaishi kama swala wa porini na hawana amani, hawajui walalamikie wapi, na Wala hawajui kesho Yao.
Mh waziri, tunakuomba uje tuondoke na Afisa utumishi huyu.
Alikotekea akaletwa Mwanga anayejua aliyokuwa matendo na tabia ya kutukana na kufokea watumishi wa umma alikuwa nao.
Kuna kila dalili Afisa utumishi huyu anatumiwa na vyama pinzani kudhalilisha watumishi wa umma, ili waichukie serikali yao.
Polen sana, ipo haha rais SAMIA wizara ya utumishi ampe makonda hata wiki tu uone Kila kitu kitakaa sawa, uhamisho I shida, madaraja yapo zigzag, wanyama anamzid wa mbele hii aibu mpe makonda ni wiki tu
Post imekaa kimajungu majungu! kama ana maovu hakuna haja ya kutoa na maelekezo waje waondoke nae! ilitakiwa ushuke tu maovu yake yote! halafu tusikilizie mamlaka zake za uteuzi zitachukua hatua gani! lkn sio kwa mtoa post kutoa na maelekezo.
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.
Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri.
Suala la haki, usawa, na kusimamia maslahi ya mtumishi halipo kwake limepitwa na WAKATI.
Kuficha mafaili ya watumishi yeye amesomea kazi hiyo na haambiliki Wala haelewi, anasema anaripoti juu kwa juu.
Uongozi wa DED aliyeondoka ulimfanya Afisa utumishi huyu kuwa mungu mtu na amefikia mahali sasa anatisha watumishi kuwa anao uwezo wa kuwafukuza kazi bila mamlaka husika kumfanyia chochote.
Hali ya watumishi wa Halmashauri, wanaishi kama swala wa porini na hawana amani, hawajui walalamikie wapi, na Wala hawajui kesho Yao.
Mh waziri, tunakuomba uje tuondoke na Afisa utumishi huyu.
Alikotekea akaletwa Mwanga anayejua aliyokuwa matendo na tabia ya kutukana na kufokea watumishi wa umma alikuwa nao.
Kuna kila dalili Afisa utumishi huyu anatumiwa na vyama pinzani kudhalilisha watumishi wa umma, ili waichukie serikali yao.
Hao maafisa utumishi wanaojiona miungu watu wametapakaa nchi nzima mpaka najiuliza kama afisa utumishi hawezi kumheshimu nurse Mwl daktari au veo ambao wote hao ni watumishi wenzie kwenye halmashauri husika hivi yupo hapo kwa ajili ya nani na nini?Mamlaka za uteuzi za watu hao waone namna ya kuwaeleza hasa kuhusu customer care mtumishi anafika kwa afisa utumishi yeye anaendelea kuchatt tu