Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

Siwezi juwa kama ni watuhumiwa ndio walio omba wapigwe picha na maofisa wa polisi au ni polisi waliotaka wapigwe picha pamoja na watumiwa, ila kwamtazamo wangu naona muonekano wa picha hizi ni kama wamedhalilishwa
Ni utaratibu tu
 
AcAcha tu wadhalilishwe maana wana stahili hyo hali,walijiona hawagusiki.....
Hapo maskari wanawashangaa kuwaona wanao hawa mabilionnn kwa mabilionnnn

OvA
 
Siwezi juwa kama ni watuhumiwa ndio walio omba wapigwe picha na maofisa wa polisi au ni polisi waliotaka wapigwe picha pamoja na watumiwa, ila kwamtazamo wangu naona muonekano wa picha hizi ni kama wamedhalilishwa
Unasema wamedhalilishwa, ni kutokana na umri wao au kwa nyadhifa walizonazo kwahiyo haikustahili wao kuchuchumaa vile?
 
Ningekuwa mimi ni askari hao wazee ningetandika na mitama juu.

Siwezi juwa kama ni watuhumiwa ndio walio omba wapigwe picha na maofisa wa polisi au ni polisi waliotaka wapigwe picha pamoja na watumiwa, ila kwamtazamo wangu naona muonekano wa picha hizi ni kama wamedhalilishwa
 
Sipati Picha siku Chenge na tibaijuka wakikamatwa na kupigwa Picha wakiwa wamepiga magoti au wamechuchumaa
 
Paskali umenishangaza eti kuchuchumaa watuhumiwa ni uzalilishaji. Nakupa pole sitaki kuongea mengi maana inawezekana una maslahi behind the scene.
 
Marekani pingu wanafunga nyuma(sisi mbele)kutokana ukhatari wa wengi wa wahalifu wao, lakini mambo ya kuchuchumazana na kurukushana vichura hawana
 
Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Siku tukijuwa kujiheshimu wenyewe ndiyo tutajuwa kuheshimu binaadam wengine.

Binadam hata awe na makosa hatakiwi kudhadhalishwa mbele ya vyombo vya sheria. Hukumu ndiyo utaamua adhabu ama la. Na kama ni adhabu basi nayo hutolewa kwa mujibu wa sheria.

Tatizo kubwa la kutoheshimu haki za binadam huanzia kwenye malezi majumbani mwetu. Tunalea watoto kama watumwa, fimbo kwa kwenda mbele.

Mtoto aliyelelewa hivyo (abused) utegemee nini kutoka kwake?
 
Mkuu Mwanamageuko , karibu pande hizi, ili ushuhudie utetezi wa haki, sikuanza leo!, na pia nimekuwekea mabandiko yangu 30 ya kutetea haki za binaadamu, ukitaka 60 pia yapo, ukitaka 90 pia yapo!.
P.
 
Mkuu Mwanamageuko , karibu pande hizi, ili ushuhudie utetezi wa haki, sikuanza leo!, na pia nimekuwekea mabandiko yangu 30 ya kutetea haki za binaadamu, ukitaka 60 pia yapo, ukitaka 90 pia yapo!.
P.
Mkuu Pasko utafunguka sana na makaburi utayafukua kwekweli awamu hii baada ya "kimya kile" hahaha!!
Je wadhani bila katiba mpya na miongozo thabiti inayowasimamia "hao jamaa" kuna kitakachobadilika kwa hizi kelele zetu???
Mara nyingi kelele zimepigwa humu mara nyingi tumeandika humu...
HAKI HAIOMBWI...
KUNA MAMBO HAYABADILIKI MPAKA WATU WENYEWE WABADILIKE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…