Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad apata Uteuzi CCM

Bado hajapewa nyumba ya serikali ya kuishi kama ilivyo ada?
 
Kila mwenye akili anajua kuwa BAKWATA ni jumuiya Mojawapo ya CCM
 
Niliandika hapa kuwa hiki ni kitendea kazi cha CCM nikaambulia kejeli toka Sukuma Gang.
Sukuma gang toka lini wakawa na akili, wanachojua wao ni 'legacy' na 'muacheni merehemu apumzike' utadhani kuna watu wanamlimisha ila akisiwa hawaisemi hiyo ya 'muacheni merehemu apumzike' bali wanaongezea points ili 'asipumzike'.
 
Kumbe lengo ni teuzi na sheik aliyetoka si kipenzi cha marehemu.
Ccm kila mtu na mchezaji wake
Sheikh aliyetoka alikuwa ni Sukuma gang na chawa mtiifu wa Jiwe, alishawahi kutoa ushuhuda wake binafsi hadharani ya kwamba Jiwe Mwendakuzimu ni zaidi ya Muhammad na Yesu na kwa pia ni zaidi ya Mungu.
Pamoja na kwamba vijisenti vya Juma Mwaka vilivyowanunua waganga njaa wa baraza la Ulamaa ndivyo vilivyompigisha chini lakini upande mwingine kuondolewa mtu mwenye vimelea vya Sukuma gang ni faida kwa watu fulani kwani wanaanza na mtu waliomuweka wenyewe na ata-dance tune yao kwa asilimia zote.
All in all huyu sheikh mpya anaonekana ni kilaza asiye na exposure kabisa.
 
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…