Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Mkuu tatizo linalo jitokeza ni ubaguzi na ubinafsi wa kusikitisha.
Hao watanganyika mnao walalamikia wako wangapi?
Hawazidi hata laki mbiki.
Ninyi mko wangapi Tanganyika?
Mwaweza fika laki 6.
Tukiamua kufukuzana jipige picha.
Kwanza jaribu kumfukuza Huyo mwanamke anayekutawala. Unasema hamfiki laki mbili , Hao ni wanajeshi na usalama waliojaa kila mtaa hujatia hesabu ya nyinyi mnaobangaiza mnaolala kwenye mapaa ya nyumba Za michenzani Kama popo
 
Yaani unataka kuniambia hao wote waliopotezwa au kuuwa walikuwa hawafuati sheria?
Chumvi nyingi unaongezwa kuhusu utekaji, sio kila utekaji serikali inahusika.

Aliuwawa akakatwa kichwa ndugu yake Mheshimiwa Temba yule mwanamuziki wa TMK, serikali ilihusika kwenye ule uharamia?.
 
Chumvi nyingi unaongezwa kuhusu utekaji, sio kila utekaji serikali inahusika.

Aliuwawa akakatwa kichwa ndugu yake Mheshimiwa Temba yule mwanamuziki wa TMK, serikali ilihusika kwenye ule uharamia?.
Kwanini serikali haiundi tume kuchunguza utekaji wala hawaja ulaani?
 
Kwanza jaribu kumfukuza Huyo mwanamke anayekutawala. Unasema hamfiki laki mbili , Hao ni wanajeshi na usalama waliojaa kila mtaa hujatia hesabu ya nyinyi mnaobangaiza mnaolala kwenye mapaa ya nyumba Za michenzani Kama popo
Hso wachache saana , mkifurumshwa toka Tanganyika boti za Azam zitakuwa hazitoshi.
Nyie moto wa nyasi, hamuwajui waTanganyika, ni moto wa kijinga cha moto.
Ndoo ya maji hsutauzimisha.
 
Hso wachache saana , mkifurumshwa toka Tanganyika boti za Azam zitakuwa hazitoshi.
Nyie moto wa nyasi, hamuwajui waTanganyika, ni moto wa kijinga cha moto.
Ndoo ya maji hsutauzimisha.
Na wewe sijui Kama huandikii hayo maneno yako ukiwa juu ya paa la nyumba Za michenzani, kule ndio 5 star hotel yenu mumejazana. Wewe kusikia jina la Mafwele unaanza kuupata Tumbo la kuharisha , utawaweza Wazanzibari ? Kwanza kashughulike na watekaji Kama unao ubavu
 
Huwa ninyi wazanzibari mkiwa wapumbavu mnakuwa kichekesha.
Akili hakuna, elimu madrasa, pumba tupu.
Hata kubishana nawe najishusha sana.
 
Poleni watanganyika.

Kazi na mtutu , tunasonga mbele.
Hii kweli ndo kazi na Utu.....
Huyu Mama aliondolewa kwenye uwaziri wa fedha huko visiwani???
 
Huwa ninyi wazanzibari mkiwa wapumbavu mnakuwa kichekesha.
Akili hakuna, elimu madrasa, pumba tupu.
Hata kubishana nawe najishusha sana.
Wewe una akili na ndio mkatawaliwa na mwanamke Mzanzibari au vipi ? Hivi Mafwele kawa Mzanzibari? Umeanza kupata homa ya Mafwele 😝😝
 
Wewe una akili na ndio mkatawaliwa na mwanamke Mzanzibari au vipi ? Hivi Mafwele kwa Mzanzibari? Umeanza kupata homa ya Mafwele 😝😝
Wale wale mifala ya akili ndogo.
Una cheti cha madrasa mnataka kazi, hakafu saa nne akili kwenda markiti.
 
Wale wale mifala ya akili ndogo.
Una cheti cha madrasa mnataka kazi, hakafu saa nne akili kwenda markiti.
Wewe mwenye cheti cha University unakuja kuangamiza kitu gani huku Zanzibar huku ukilala kwenye mapaa ya nyumba Za michenzani Kama popo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…