Kuna ombwe la uongozi...Kwani kumetokea nini kwenye hii Nchi matamko yanakuwa mengi? hapo zamani tulikuwa tunaishije? Nafikiri kuna mahala hapako sawa pana hitaji kutazamwa kwa kina ili pasije kupasuka zaidi.
Mkuu, huyu anazungumzia matibabu kwa bima.Imagine huyu alikuwa waziri huku bara je hakutibiwa na nhf ?
Wapi nimesema bora iharibiwe kisa hivyo ?Ndio maana Wachina wanawanyoosha tu wanadini shupavu kupitia internment camps, kulea ujinga wa aina hii huwezi kuwa na nchi bora.
Yani unaona ni bora tu nchi yako Tanganyika iharibikiwe kisa unahisi Zanzibar wanapingwa kwa sababu ya Uislamu wao!
Sada mkuKaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti mbalimbali.
“Mtu ambaye sio Mzanzibar anakwenda katika hospitali zetu anaonesha matibabu kadi, pili Watu kuzuiwa nadhani nilitoa maelezo sana, sio ZHF inaanza bali inaendelea kuwasajili wengine ambao sio wa sekta ya umma”
“Wakati Wanachama wa ZHF wakiendelea kusajiliwa kulikuwa na Matibabu Kadi zikitolewa unakwenda kwa Sheha unachukuliwa taarifa zako unakwenda hospitali hakuna anayekurudisha ilo moja, la pili kilichokuwa kikibainika kwa wenzetu wa hususan kwa ngazi ya Masheha si waaminifu, Mtu si Mzanzibar anakwenda kwenye hospitali zetu anaonesha matibabu kadi na wale waliokuwa wanakaa pale wanamwambia atoe kitambulisho cha Mtanzania”
Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
“Bajeti yetu ya trilioni 8 tutaweza kuwatibu Watu milioni 60 ? Tumeona wengine sio Wazanzibar wanatibiwa kwa kutumia matibabu kadi,”amesema Kaimu Waziri wa Afya.
N.B: Huyu mama tukumbuke alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya Muungano
Sada mkuya yuko sahihi kabisa bajeti ya Afya ya Zanzibar ni kwa ajili ya wanzanzibariKaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti mbalimbali.
“Mtu ambaye sio Mzanzibar anakwenda katika hospitali zetu anaonesha matibabu kadi, pili Watu kuzuiwa nadhani nilitoa maelezo sana, sio ZHF inaanza bali inaendelea kuwasajili wengine ambao sio wa sekta ya umma”
“Wakati Wanachama wa ZHF wakiendelea kusajiliwa kulikuwa na Matibabu Kadi zikitolewa unakwenda kwa Sheha unachukuliwa taarifa zako unakwenda hospitali hakuna anayekurudisha ilo moja, la pili kilichokuwa kikibainika kwa wenzetu wa hususan kwa ngazi ya Masheha si waaminifu, Mtu si Mzanzibar anakwenda kwenye hospitali zetu anaonesha matibabu kadi na wale waliokuwa wanakaa pale wanamwambia atoe kitambulisho cha Mtanzania”
Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
“Bajeti yetu ya trilioni 8 tutaweza kuwatibu Watu milioni 60 ? Tumeona wengine sio Wazanzibar wanatibiwa kwa kutumia matibabu kadi,”amesema Kaimu Waziri wa Afya.
N.B: Huyu mama tukumbuke alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya Muungano
Hakua waziri wa bara Alikua waziri wa jamhuri ya muungano wa TanzaniaImagine huyu alikuwa waziri huku bara je hakutibiwa na nhf ?
Jirani masikini anakula na kuishi kwako lakini hataki mtoto wako ale kwakeYes yuko sahihi
Kila mtu si ana kwake au kwao?
Naunga mkono hoja yake
Kabisa, tunalazimisha ndoa wakati mke hataki
Kwenye Muungano na Katiba, Nyerere alitukosea sana wana Tanganyika.Sijui Nyerere aliwaza nini kuingia muungano huu wa hovyo kutokea.
Na hapo ndipo penye ugumu. Nahisi kuna siri kuhusu muungano zaidi ya tu kuungana ila kwa investment na sheria zinavyoendeshwa kwa upande wa Zanzibar. Nina uhakika kuvunjika hakuko mbali maana Zanzibar ilitakiwa kupata goli moja tu ili kunyoosha kila kitu.Wapo sahihi kabisa , sababu hawakutunga Sheria zao chooni .
Na sisi mainland ndio tunashida na muungano mbona Sudan waligawana Leo hii washatengana ya Kusini Juba na ya Khartoum . Walianzisha mchakato na kupiga kura kuhusu kugawana basi wakagawana , Mimi naimani waZanzibar Leo kesho wanatamani watoke kwenye muungano ila Wazee wa Tanganyika hawataki kusikia muungano kuvunjika
Tena wa fedha na uchumi.Imagine huyu alikuwa waziri huku bara je hakutibiwa na nhf ?
Sijui alikuwa na lengo gani kabisa muungano huu kwa akili tu ya std 7 huwezi kuuingiaKwenye Muungano na Katiba, Nyerere alitukosea sana wana Tanganyika.
Hili halikwepeki kabisaa.