Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Una hela ukiitoa wapi , Nyerere aliichukuwa pesa yote ya Zanzibar Narodjni Bank , London , 500 milioni Ponds wakati pesa yake iliisha kwenye vita na Uganda. Akaawaambia Watanganyika wakaze mikanda , .Dollar moja ilikuwa shilingi 7 tu . Leo iko ngapi utajua mwenyewe
Pambaf, ukiwa na akili ndogo huwa mnsongea upuuzi kama mamsapu wenu.
Zanxibar mna hela gani ya kuitwa hela.
Bili zabumeme tu mnapewa bure miaka na miaka.
Miaka ya Nyerere ulikuwa unatokwa kamasi tu, na uchumi wenu wa karafuu ulikuwa unawatosha kununua urojo.
Washamba ninyi.
 
Saivi Tuanze na kampeni ya kuwanyang'anya Wapemba Wote Maeneo Yetu na kususia biashara zao huku Tanganyika pamoja na kunyima matibabu wala msaada wakipatwa na shida kwa sababu mnaona wanachowafanyia ndugu zetu kule Porini kwao
 
Bahati mbaya hakuna hata 1 kiongozi wa juu aliye ikanusha au kuoweka sawa ! Ni kama ile ya yuda! Kwa mfanano wote ni w waznzbar wote wanawalenga salengwa wa tanganyika wote amezungumza wakiwa ndani ya vyombo vya maamzi makuu! Wote hakuna alyewazuia na isivyo bahati zaidi hakuna anaye ona hatari iliyo mbele ya uso kama taifa..


Huko tunakoelekea inawxa kuwa jambo la hatari ikiwa hatua madhubuti hazitachukuliwa... Itoshe kusema kwamba ukuni mkavu ni rahisi zaidi kuwaka kukiko mbichi. Ila kuni zote ukiziwekea petrol Zinawaka kwa pamoja..
 
Pambaf, ukiwa na akili ndogo huwa mnsongea upuuzi kama mamsapu wenu.
Zanxibar mna hela gani ya kuitwa hela.
Bili zabumeme tu mnapewa bure miaka na miaka.
Miaka ya Nyerere ulikuwa unatokwa kamasi tu, na uchumi wenu wa karafuu ulikuwa unawatosha kununua urojo.
Washamba ninyi.
Empty head.
 
Saivi Tuanze na kampeni ya kuwanyang'anya Wapemba Wote Maeneo Yetu na kususia biashara zao huku Tanganyika pamoja na kunyima matibabu wala msaada wakipatwa na shida kwa sababu mnaona wanachowafanyia ndugu zetu kule Porini kwao
Sawa mjuba.
 
Sijui Nyerere aliwaza nini kuingia muungano huu wa hovyo kutokea.
Nyerere alituingiza katika janga kubwa mno! Inasikitisha mno kuona Watanganyika hatjuielewi kabisa, na ambao ungetegemea wangesema chochote kwa maslahi ya matumbo yao wako kimya kabisa! Wazanzibari wako wazi wanataka nini! Na Samia kwa makusudi kabisa ameamua kuutumia huu mwanya kuimarisha uzanzibari! Watanganyika tumekwisha!
 
Kama ni hivyo Wazanzibar wanafanya nini bara?

Na ni kwanini waziri wa fedha na Mzanzibar??

Pesa za bara ni za Muungano, pesa za zanzibar ni za Wazanzibar

Ndio maana hakuna waziri wa fedha wa zanzibar kutoka bara ila kuna waziri wa fedha bara wa kutoka zanzibar
 
Pambaf, ukiwa na akili ndogo huwa mnsongea upuuzi kama mamsapu wenu.
Zanxibar mna hela gani ya kuitwa hela.
Bili zabumeme tu mnapewa bure miaka na miaka.
Miaka ya Nyerere ulikuwa unatokwa kamasi tu, na uchumi wenu wa karafuu ulikuwa unawatosha kununua urojo.
Washamba ninyi.
Matusi ndio mwisho wa kushindwa hoja
 
Kwa Hali ilivyo sasa huu uropokaji utachochea machafuko:
Cha msingi Watanganyika wote warudi bara na Wazanzibari wote warudi visiwani:
hatuna muda wa kupoteza kwa hao wapumbavu:
Mwarabu kawapandikiza chuki kwa wasio Waislamu Waarabu:
Wazanzibari wanajiona ni Waarabu:
Ni kama mataahira fulani hivi
Kama mnavyojiona nyinyi Waroma na mayahudi au vipi ? Anayechochea machafuko ni nyinyi mliotuvamia 1964 na kuondosha kiti chetu UN . Mkatuibia pesa zetu Za EA Community nä kutuchukulia pesa zetu kule Bank ya London kugharamia vita vyenu na Uganda
 
Yes yuko sahihi
Kila mtu si ana kwake au kwao?

Naunga mkono hoja yake


Vipi na bara wakisema wamechoka kuzalisha chakula kuilisha Zanzibar, wachoka kuzalisha umeme na kuusambaza kwenda Zanzibar na vitu vingine kibao...
 
Vipi na bara wakisema wamechoka kuzalisha chakula kuilisha Zanzibar, wachoka kuzalisha umeme na kuusambaza kwenda Zanzibar na vitu vingine kibao...
Zanzibar miaka yote ikijilisha yenyewe , ni hivi karibuni tu baada ya kuzidiwa na wahamiaji kutoka Tanganyika na nchi nyengine Za Afrika Mashariki ndiyo tukaanza kuagiza chakula bara. Hicho chakula bahati mbaya hamtupi bure , tunanunua , Kama hamtotuuzia mazao yenu yatajiozea sokoni na mtakosa ajira kwa kukosa kufikiri
 
Back
Top Bottom