Kaimu Waziri wa afya Zanzibar: Sikusema watu wa bara wasitibiwe

Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.

Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.

“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”

“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”

“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”

Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?

“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”

Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
View attachment 3605405
Utetezi wake ni wa kipumbavu.Wanachokitaka watakipata very soon!
 
Amesema, tumemsikia, tumemuelewa na ujumbe umetufikia kuwa Watanganyika hatutakiwi Zanzibar. Ni wakati sasa Watanganyika kuachana na CCM ambayo ndiyo inang'a g'ania muundo wa serikali mbili ambao unaipa Zanzibar kibri ya kunyanyasa Watanganyika.
 
Sada Mkuya tangu yupo MoF ni Giza tupu kichwani.. kina Malima walikua wanaelewa.
 
Sasa hao ambao sio wazan
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.

Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.

“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”

“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”

“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”

Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?

“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”

Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
View attachment 3605405
Sasa hao ambao sio wazanzibar ni akinanani, na pili wabara, wao wanakuwa ni raia au sio raia.
Na kama watu wanachangia Kwa kutumia hiyo ajira au biashara kwanini inatumika neno wasio wanzanzibar Badala ya kutumika neno , wasio wanachama wa Zhif.
Na je mwanachama WA Zhif alienda Bara, matibabu yake yanakuwaje
 
Afya siyo suala la muungano,kama wana sera zao huko zenji,waachwe wazifuate,ukipeleka makalio yako hospital za huko lipia kama unavyolipia huku bara
Mmeamua kuwa wapumbavu wa Kila kitu, Kuna mawaiziri wangapi kutoka Zanzibar waliopewa wizara zisizo za muungano
 
S
Afya siyo suala la muungano,kama wana sera zao huko zenji,waachwe wazifuate,ukipeleka makalio yako hospital za huko lipia kama unavyolipia huku bara
Serikali za mitaa na tawala za mikoa siyo mambo ya Muungano.
Waalimu wa sekondari wazanzibar wameajiriwa Tanganyika kwa vigezo gani?
Wakurugenzi wa Halmashauri wazanzibar wameajiriwa (kuteuliwa) Tanganyika kwa vigezo gani?
Tuendelee na mambo mengine wazanzibar wanayopewa ambayo siyo ya muungano?
Wazanzibar wengi wabinafsi na wabaguzi sana. Lakini wao wanapenda kupewa zaidi kuliko kutoa au kupeana Ile nipe nikupe.
 
Mzanzibar ni mtanzania, Tanganyika haipo

Kuna Zanzibar na kuna jamhuri ya muungano wa Tanzania, mzanzibar anaingia kote, mtanzania bara haingii serikali ya mapinduzi Zanzibar
 
Afya siyo suala la muungano,kama wana sera zao huko zenji,waachwe wazifuate,ukipeleka makalio yako hospital za huko lipia kama unavyolipia huku bara
Ok, aliposema bajeti yao ni 8t haiwezi kutibu watu 65m alikuwa anataka kumaanisha nini? Chawa tunasubiri ufafanuzi wako.
 
Hawawezi kutibu bure watu 65m, maana yake kilo moja hutosha watu wanne na si 14,Iko wazi
We mbara kata bima nhif utibiwe kokote
 
Mzanzibar ni mtanzania, Tanganyika haipo

Kuna Zanzibar na kuna jamhuri ya muungano wa Tanzania, mzanzibar anaingia kote, mtanzania bara haingii serikali ya mapinduzi Zanzibar
Hii ni kujitoa umakini makusudi.
Inaitwa serikali ya Jamhuri ya MUUNGANO.
Huo muungano wa nchi gani?
Kwanini moja inatambulika na nyingine mnataka isiwepo?
Nianze kukushushia Article of Union ilikuwa na vipengele vipi tuone kama imekufa hiyo nchi?
MALCOM LUMUMBA naomba umpe rejea ya andiko lako humu.
 
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.

Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.

“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”

“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”

“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”

Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?

“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”

Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
View attachment 3605405

Kajitetea vizuri kwa hoja.
 
Kuna Zanzibar na kuna jamhuri ya muungano wa Tanzania, mzanzibar anaingia kote, mtanzania bara haingii serikali ya mapinduzi Zanzibar
Hii kwaujibu wa kufungua kipi Cha katiba au hati ya muungano?
 
Mzanzibar ni mtanzania,ana haki kushika wadhifa wowote kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Lakini mtanzania bara hana haki kushika wadhifa wowote kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar
 
Back
Top Bottom