figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kumbe!Uyo mzanzibar apo anaukana kidogo kuwafanya watanganyika mafala.Chunguza kwa makini sana anachokiandika, wako wengi sana kama malaria 2 na wengine
Huyu Omary Yusufu Mzee alimjua kisawasawa. Ndiyo maana alimshit, mpaka akabadili menoKaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.
Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.
“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”
“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”
“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”
Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?
“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”
Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari
Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
View attachment 3605405
Kuna watu wamezaliwa na damu ya kuchukia Watanganyika na Utanganyika wao, moja wao ni Saada. Namfahamu fika, I wish wangekutana na Lamomy ndiye angelimfunza adabu.Utetezi wake ni wa kipumbavu.Wanachokitaka watakipata very soon!
Mbona hautaji kifungu Cha katiba, sheria, au hati ya muungano?Mzanzibar ni mtanzania,ana haki kushika wadhifa wowote kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Lakini mtanzania bara hana haki kushika wadhifa wowote kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar
Anahangaikia namna ya kumeza matapishi yake mwenyewe, kila alichokisema kiko crystal clear.Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.
Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.
“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”
“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”
“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”
Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?
“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”
Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari
Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
View attachment 3605405
Mbona sasa anapohojiwa na DW anayakana hayo maelezo.Mimi sikuona Kosa la Saasa Mkuya, kwanza namjua ni Mama Mzuri mwenye Hakima pia ufafanuzi aliotoa ilikuwa ni kiasi cha bajeti iliyopo na Watu wanaopaswa kupokea hizo huduma, ndio akatahadhrisha ikiwa kuna watu ambao sio Wazanzibar wakazi wanapata hizo huduma na wao kwa hiyo bajeti haitoshi. Akamalizia kwa kusema ni Muhimu ukawa na utaratibu Mtu ambaye sio Mzanzibari Mkazi asitibiwe kwa sababu bajeti ni ndogo
Hivi kwanini vyombo vyetu vya habari havikimuuliza haya maswali yaliyoulizwa na DW? Wao ndiyo wako Karibu wanaweza hata kumualika kwenye studio zao na kumuuliza kama haoni kuwa kauli zake ni tata na za kibaguzi?Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.
Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.
“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”
“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”
“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”
Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?
“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”
Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari
Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
View attachment 3605405
Hivi kwanini vyombo vyetu vya habari havikimuuliza haya maswali yaliyoulizwa na DW? Wao ndiyo wako Karibu wanaweza hata kumualika kwenye studio zao na kumuuliza kama haoni kuwa kauli zake ni tata na za kibaguzi?
Ukiwa na akili timamu huhitaji kifungu cha Sheria kujua hilo,ikiwa kuna Baraza la wawakilishi(bunge) Zanzibar,kuna rais wa serikali ya mapinduzi,ambako kote mtanzania bara hawezi shika wadhifa wowoteMbona hautaji kifungu Cha katiba, sheria, au hati ya muungano?
Hiyo haki unayompa au kumnyima mzanzibar au mtanganyika umeitoa wapi?
Waliunda katiba na sheria kwa sababu gani?Ukiwa na akili timamu huhitaji kifungu cha Sheria kujua hilo,ikiwa kuna Baraza la wawakilishi(bunge) Zanzibar,kuna rais wa serikali ya mapinduzi,ambako kote mtanzania bara hawezi shika wadhifa wowote