Kaini ni mtoto wa Adamu, je alimpata wapi mkewe ikiwa binadamu wa mwanzo walikua wawili?

Ni kweli, Adam na Hawa walizaa watoto wengine wa kike na kiume,Mwanzo 5:4.Inasema, "Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake."
 
zamani waliokuwa wanahesabika ni wanaume tu, mwanamke aliyehesabika awali sana ni hawa/eva tu. wanawake walikuwa wanapigwa chini kama vile hawapo. bila shaka, walizaliana wao kwa wao, jua kuwa Adam alizaa watoto wengine kama kina Seti etc, baada ya Kaini Kumuua Abel, Seti alizaliwa kama replacement ya habil, na watoto wengine walizaliwa.hivyo walizaana wao kwa wao. manake hapakuwa na wanadamu wengine na Mungu hakuumba wengine. baadayeee ndio Mungu aliweka hizi sheria za kutooa dadako nafikiri.
 
Pamoja na kwamba sikubaliani na ulichokiandika, Ila mtoa mada bado hujamjibu swali.
Tu assume Kama Adam na Hawa sio wa Kwanza Kama ulivyoelezea. Ila ukaeleza kulikuwa na viumbe wengine duniani kabla ya Adam na Hawa, sasa swali ni Hao wamezaliwaje? Wame oanaje?
 
Sasa hao wengine umepata wapi taarifa zao kama hawakutunza kumbukumbu?
 
Mnaskiaga fahari gani, mki danganya lakini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Mujibu Mleta Mada Ukweli ulio nao
Kaka we Ni mwongo mkubwa Sana ndani ya taifa duhhhh[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikufikiriaga Kama naweza kumpata mwongo Kama wewe uku jf dahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hapana hapana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Uruma kidogo jamani[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti kuwaongeza maujanja? 🤣🤣🤣🤣
 
Samahani kama nitakuwa ninakosea ni ktk kujifunza:Katika vitabu vya agano la kale na hasa Mwanzo mwanamke alikuwa hatajwi kamwe,na katika hesabu zilizokuwa zikifanyika walikuwa wakitajwa wanaume tu;
Hivyo katika uzao wa Adamu na Hawa pia kuna watoto wa kike waliozaliwa pamoja na Kaini na Abel.Means,baada ya Kaini kumuua Abel alimchukua dadae na kuamia sehemu ya mbali na kuoana na kutengeneza uzao/kuendeleza kizazi na kizazi hadi hii.
Pia itakuwa Adam na Hawa waliendelea kuzaa watoto wengine wake kwa waume ambao nao waliendelea kuooana na kuzaliana zaidi,biblia haijaandika mambo yote but la Kaini kuambatana na dadae na kuoana lipo wazi
 
😂😂🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…