Kairuki anakuwaje Waziri wakati hajaapishwa Bungeni?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Hii ni sawa wajameni? si alitakiwa aapishwe bungeni kuwa mbunge kwanza ndipo aape kuwa waziri/ au kuna shortcut?

Yaani kwa wenzetu kenya hata mawaziri, IGP etc wakichaguliwa na RAIS wanatakiwa wapitishwe na bunge ila hapa kwetu mambo ni zigzag tukubali tu TZ kwa sasa imekuwa comedy sana
 
Kimsingi alitakiwa kuapishwa kwanza bungeni ili awe mbunge, baada ya hapo ndio aapishwe kuwa waziri.

Labda wameshimdwa kufanya hivyo kwasababu bunge limeahirishwa, lakini si wana uzoefu wa kuapishana hata gereji, nini kimewashinda?

Kama hali ikibaki hivi, Kairuki anaweza kuweka rekodi ya kuwa waziri wa kwanza asiye mbunge mpaka siku atakapoapishwa bungeni.
 
Mkuu ameapishwa na Tulia Ackson mapema sana leo hii ofisi ndogo za bunge,ndio maana rais kwenye hotuba yake baada ya mawaziri kula kiapo alimpongeza na kusmshukuru Tulia kwa kuwahi kwake toka mbeya,fuatilia hotuba yake,ndio maana uzi wako umedoda
 
Kimsingi alitakiwa kuapishwa kwanza bungeni ili awe mbunge, baada ya hapo ndio aapishwe kuwa waziri.

Labda wameshimdwa kufanya hivyo kwasababu bunge limeahirishwa, lakini si wana uzoefu wa kuapishana hata gereji, nini kimewashinda?

Kama hali ikibaki hivi, Kairuki anaweza kuweka rekodi ya kuwa waziri wa kwanza asiye mbunge mpaka siku atakapoapishwa bungeni.
Mkuu ameapishwa na Tulia Ackson mapema sana leo hii ofisi ndogo za bunge,ndio maana rais kwenye hotuba yake baada ya mawaziri kula kiapo alimpongeza na kusmshukuru Tulia kwa kuwahi kwake toka mbeya,fuatilia hotuba yake,
 
Shida ipo wap kimoja kikitanguulia .ina maana vikao vikianza kabla hajaket kwenye bench atakula kiapo simple as that
 
Hii ni sawa wajameni? si alitakiwa aapishwe bungeni kuwa mbunge kwanza ndipo aape kuwa waziri/ au kuna shortcut?

Yaani kwa wenzetu kenya hata mawaziri, IGP etc wakichaguliwa na RAIS wanatakiwa wapitishwe na bunge ila hapa kwetu mambo ni zigzag tukubali tu TZ kwa sasa imekuwa comedy sana
Labda kashaapishwa. Kwani vile vidada 19 viliapishiwa bungeni? Katiba yetu watu wanaichukulia kana hadithi za bulicheka, na hakuna mtu wa kuwafanya kitu
 
Katiba mbovu ndio maana tunaona comedy za Rais
 
Hii ni sawa wajameni? si alitakiwa aapishwe bungeni kuwa mbunge kwanza ndipo aape kuwa waziri/ au kuna shortcut?

Yaani kwa wenzetu kenya hata mawaziri, IGP etc wakichaguliwa na RAIS wanatakiwa wapitishwe na bunge ila hapa kwetu mambo ni zigzag tukubali tu TZ kwa sasa imekuwa comedy sana
Kwahiyo hujui kama bunge lilianzia Darisalama kabla ya vikao kuhamishiwa Dodoma?

Kuna ofisini za bunge Darisalama ulielewe hilo, na hata Ikulu imetumika ya Darisalama na siyo ya Dodoma, hizi zote ni ofisi halali.
 
Isome taratibu katiba yetu pendwa utaielewa pia angalia Norms za hiyo nyazfa kwenye utendaji wa kazi
Rais yupo sahihi mwache Sa100 wetu apige kazi bhana
huyu nadhani hajui urais ni taasisi na kuna wabobezi kibao wa sheria kule Ikulu.atafute katiba mpya ndo itakuwa panacea ya matatizo yote haya tunayoyashuhudia hivi leo.
 
Back
Top Bottom