GE2025 Kairuki: Nitahakikisha barabara za jimbo la Kibaha kujengwa kwa lami

GE2025 Kairuki: Nitahakikisha barabara za jimbo la Kibaha kujengwa kwa lami

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ahadi ya mgombea ubunge jimbo la Kibamba @angellah_kairuki kuhusu kurekebisha miundombinu ya jimbo hilo, baadhi ya barabara zikijengwa kwa kiwango cha lami
 
Safi sana. Mwambie abadilishe na meno yake, maana yamekatika sana
 
Atoe ahadi hewa tu, miaka mitano sio mingi na jimbo la kibamba ni moja ya majimbo hovyo kabisa.
 
Huyu 2020 si aligombea huko Same Kilimanjaro? Na akashindwa.
Leo hii anagombea kibamba, Lol
 
Humu imeguswa siasa ya nchi za kiafrika, kutana na ufisadi, ulaji rushwa, usaliti, ukosefu wa ajira, siasa chafu za vyama, hali ngumu ya maisha na mfumuko wa bei.

Hichi kitabu cha kimtandao ni kioo tosha cha maisha na siasa za kiafrika.

Fuata link:
 
Mbona hakuhakikisha siku zote? Amekuwa mbunge kwa miaka mingapi? Wananchi tunadanganywa sana na hawa Mafisadi waongo.

Anatafuta tu kura akaibe tena
 
Back
Top Bottom