Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC

Kuna mchezaji kama Feisal ameimbwa Sana lakini hatoki Nje ya Tanzania kwenda kupata team ila wanaotoka kwenda kucheza Nje ya Nchi hawaimbwi. What's wrong with him
wakala wake amekalia kuwatisha yanga pekee bila kujua fei sasa ni 30's
 
Kuna mchezaji kama Feisal ameimbwa Sana lakini hatoki Nje ya Tanzania kwenda kupata team ila wanaotoka kwenda kucheza Nje ya Nchi hawaimbwi. What's wrong with him
huyo ni mchezaji wa kiwango cha hapa Tanzania tu na labda hapa nchi za Afrika mashariki
 
Back
Top Bottom