Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC.
Inaelezwa Azam FC wamemuuza nyota huyo kwa $500,000 sawa na Tsh. 1,318,696,000 akiwa amesaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
Pia, AmaKhosi watamlipa mshahara wa $30,000 sawa Tsh. 79,124,940 kila mwezi, atapewa nyumba ya kuishi, kisha na $170,000 Tsh. 448,374,660 kama Sign-on fee.