Aliichezea Tanzania kwny mashindano ya AFCON?Ni Mtanzania. Ni kiungo mkabaji mzuri sana akiwa kwenye ubora wake. Msimu uliopita aliichezea vizuri sana Azam Fc ila baadaye alipata majeraha yaliyomuweka nje kwa muda na hivyo kupoteza namba kwenye kikosi cha kwanza.
😂😂😂Mpaka umecomment mkuu! Kweli imekugusa sana
Nadhani hakucheza. Alipata majeraha yaliyomuweka nje kwa muda mrefuAliichezea Tanzania kwny mashindano ya AFCON?
wakala wake amekalia kuwatisha yanga pekee bila kujua fei sasa ni 30'sKuna mchezaji kama Feisal ameimbwa Sana lakini hatoki Nje ya Tanzania kwenda kupata team ila wanaotoka kwenda kucheza Nje ya Nchi hawaimbwi. What's wrong with him

huyo ni mchezaji wa kiwango cha hapa Tanzania tu na labda hapa nchi za Afrika masharikiKuna mchezaji kama Feisal ameimbwa Sana lakini hatoki Nje ya Tanzania kwenda kupata team ila wanaotoka kwenda kucheza Nje ya Nchi hawaimbwi. What's wrong with him
Amesharidhika naskia Azam wanamlipa 50 milionKuna mchezaji kama Feisal ameimbwa Sana lakini hatoki Nje ya Tanzania kwenda kupata team ila wanaotoka kwenda kucheza Nje ya Nchi hawaimbwi. What's wrong with him
Tufanyeni mazoezi jaman mpira unalipa