Al ahly awe makini,,,,Kaizer chiefs wana game plan hazieleweki eleweki,,, hajafika fainali kwa mualiko ama upendeleo wa kupewa pewa penalty. safari ya kaizer kufika fainali ina jasho kubwa.. na wana mzungu wao yule mshambuliaji hapotezi nafasi akiipata hata moja tu. Inamtosha kuweka wavuni
Kaizer amewatoa mabingwa wa Cameroon
Kaizer amewatoa mabingwa wa Angola
Kaizer amewatoa mabingwa wa Guinea
Kaizer amewatoa mabingwa wa Tanzania
Kaizer amewatoa mabingwa wa Morrocco
Na kuna mabingwa wengine nimewasahau amewafunga kwenye group stage..
Hao mabingwa wote Kaizer kawamudu na kufika fainali..
Al Ahly wawe makini sana. Wasiingie na matokeo mfukoni