desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Team kaizer japo walitutoa ila piga hao waarabu koko
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila lakheri chama langu Al ahly, pigeni hao uto waliochangamka.
Unawajua waarabu koko wewe!Team kaizer japo walitutoa ila piga hao waarabu koko
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naamini hutoamini jinsi hii fainali itavyokuwa ngumu. Na Chiefs wanaweza kuchukua huo ushindiAl Ahly wana uzoefu mkubwa wa Final za CAF champions league na kuchanganya na mpinzani anaukutana nae, hii itakuwa moja ya fainali nyepesi kuwahi kutokea
Mark my wordsNaamini hutoamini jinsi hii fainali itavyokuwa ngumu. Na Chiefs wanaweza kuchukua huo ushindi
Mark my words
Kaiser anakula tatu swafiLeo saa nne kamili mbivu na mbichi kujulikana....
Mnaoangalia vp mashabiki wapo
Hamna aisee, ni makelele tu ya walioko benchi na baadhi waliopo.jukwaaniMnaoangalia vp mashabiki wapo
Ulikuwa mzaha mkubwa uleKwahiyo simba wangeingia final kama Wangemlamba kaizer
Mwenye link jamani