Kaizer Chiefs wafungwa katika mechi ya ligi kuu PSL

Wameshinda game sita kati ya 28 hata Watford alimfunga Liverpool 3-0 na liver alikua hajafungwa hata game 1 na watford alishuka daraja


Hao kaizer tunaweza wapiga nje ndani
Kwenye soka lolote linawezekana ikiwa pamoja na hao Kaizer kumpiga Simba nje ndani.
 
Hao ni dhaifu kwenye ligi sasa?
Ubora wa hizo clubs zote ni wa kiwango cha chini..!?
nimechukulia kama case study, kipindi hicho kabla ya ligi kukaribia mwishoni walikuwa hawajagain form kama waliyonayo sasa..haimaanishi wana kiwango cha chini bali kawaida
 
KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI

LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
Uto huwa mnatafuta sababu za kuhalalisha wivu na husuda zenu

Mtakufa na vijiba vya roho
 
Haya kwahiyo mambo yakiwa si mambo usiseme Kaizer Chiefs ilikuwa bora!
 

Ahsante mtani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…