Kaizer Chiefs wafungwa katika mechi ya ligi kuu PSL

Kaizer Chiefs wafungwa katika mechi ya ligi kuu PSL

Sio mbaya endelea kujipa moyo mshabiki
Muda mchache uliopita, wapinzani wa Simba katika robo fainali ya Caf Champions League, Kaizer Chiefs wamefungwa goli 2-1 na Tshakhuma Fc inayofundishwa Dyran Kerr aliyewahi kuifundisha Simba miaka ya nyuma. Ikumbukwe Tshakhuma Fc inashika nafasi ya 14 katika ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL)

Kaizer Chiefs maarufu kama Amakhosi, wamepoteza mchezo huo huku mchezaji wao akilambwa kadi nyekundu na kuwaacha wakishika nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi kuu ya Afrika Kusini.

Nafikiri Simba Sc watakuwa wamefatilia mchezo huu kwa uzuri kabisa, na nimegundua udhaifu mkubwa katika idara ya ulinzi ya Kaizer Chiefs.
View attachment 1773504
View attachment 1773505
 
Mimi yanga... namuombea mtani njaa.. ila sioni kaizer chiefs akimtoa simba hii kwa mechi mbili home and away... sioni beki wa kumzuia miqquissone asisumbue , huku chama huku morrisson na hapo hapo sioni mshambuliaji wa kumzidi akili josh onyangoo... hao watu niliowataja ni wakubwa sana kwa kaizer chiefs..

Simba siipendi ila ina watu wawili ambao ni level ya juu sana kucheza ligi ya Tanzania . Watu hao ni luis miqquissone na josh onyango... hawa wakicheza at their best no one can stop them

Asante.
Hapo "Hawa wakicheza at their best no one can stop them"
Ndicho kitakacho tokea tarehe 8
 
KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
Mfano Simba. Ligi ya ndani ni timu ya kawaida sana, inatoa sare na Yanga!
 
Asante.
Hapo "Hawa wakicheza at their best no one can stop them"
Ndicho kitakacho tokea tarehe 8
181792674_808428333431125_3369728676107255978_n.jpg
 
Simba vs Tanzania Prisons

Simba vs Ruvu Shooting

Nadhan jibu unalo
 
KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI

LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
Kitu kibovu ni kibovu tu na kixuri ni kizuri tuu. ACHA WOGA
 
Halafu haohao Chiefs walimchapa kinara Mamelodi Jumapili ya 25 April 2021.
Kwan Coastal Union alimfanyaje yanga. Tena akiwa kinara wa ligi na unbeaten yake. Mbovu mbovu tuuu
 
Back
Top Bottom