Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Kuchezea nakos na watu wengi ndio chimbuko la msemo wa kupigwa mande yaan unachezea kichapo na watu wengi wanakupiga ukiwa peke yakoKuna mtu asie jua nini maana ya kupigwa mande?Msemo wa tangu 93?
Mf. 'Mwizi wa kuku amepigwa mande na wanakijiji'