Kaja ghetto kapigwa mande

Kaja ghetto kapigwa mande

Kuna mtu asie jua nini maana ya kupigwa mande?Msemo wa tangu 93?
Kuchezea nakos na watu wengi ndio chimbuko la msemo wa kupigwa mande yaan unachezea kichapo na watu wengi wanakupiga ukiwa peke yako

Mf. 'Mwizi wa kuku amepigwa mande na wanakijiji'
 
Tunapenda muziki lakini mara nyingine kunakuwa na mistari ya kudhalilisha wanawake au kuchochea ukatili dhidi ya wanawake.

"Kaja gheto kapigwa mande" ni mistari inayopatikana kwenye wimbo wa wapolo wa Weusi, hayo maneno yakiwa ni maneno ya G-Nako, ambayo kimsingi yanasifia ubakaji

Serikali inazuia nyimbo zenye maudhui ya kukosoa serikali lakini inaruhusu maudhui ya kudhalilisha wanawake.

Je, unaujua wimbo gani mwingine ambao una mistari ya kusifia unanyanyasaji dhidi ya wanawake?
Kwani ungemtafuta direct ungpakatwa na jini au,wanaume tusimame na gender yetu,we are not favorite to gossip
 
Zipo nyimbo nyingi Huwa hazipigwi hata redio kulinda maudhui singeli ndo zinaongoza hizi upigwa mtaani au kwenye vijiwe vya kuvutia
 
Mande ni kitendo cha mwanamke mmoja kufanywa na wanaume zaidi ya mmoja kwa kupishana

Kupishana ukimaanisha anatoka kw mwanaume huyu alaf anaenda tena kwa mwanaume mwingine?
 
Back
Top Bottom