Kajala hii sio namna ya uvaaji katika runinga

Hawa Bongo movie ndomaana wanaitwa makahaba yani hawajitambui kwakifupi na akiona huu uzi kesho atavaa kituko zaid akidhani anamkomesha mtoa mada
 
Mmmmmmh
Sitakusahau pia.. shaaaaaa
Hadi leo siwezi badili fikra juu yako..

Avatar hii ya sikukuu.. nitairudisha .gif yangu baada

Na ata ukibadilisha fikra kuna siku fikra zitakubadilisha

makonda ni best kulipo unavyo fikiri from muccobs mpaka sasa lakini sio unamtetea kama umekata mshipa wa ubongo

Uwe na staaa mwakani ukinisumbua nakublok maana melo atakuwa ameleta hivyoo part

Na vile vi ID vyako vipya kuniomba namba ya simu uache pia.
 
Mbona amevaa kawaida tu jamani unashangaa vazi hilo kwa mabinti wa siku hizi
 
alivyoanza kujitia mikorogo akapoteza uzuri wake wa asili, huu ni uzuri wa dukani usibabaike
 
Na ata ukibadilisha fikra kuna siku fikra zitakubadilisha

makonda ni best kulipo unavyo fikiri from muccobs mpaka sasa lakini sio unamtetea kama umekata mshipa wa ubongo

Uwe na staaa mwakani ukinisumbua nakublok maana melo atakuwa ameleta hivyoo part

Na vile vi ID vyako vipya kuniomba namba ya simu uache pia.

Duh
Umevuta nini ruba wewe?

Naona unaniota.. hadi unatamani nifanye unayonisingizia.. nifungue ID kukuomba jitu kama wewe namba kisa? Kwanza hata sijawahi kutaka kukujua.. kabisaaaa.. mimi nimekuwa mshabiki wake humu.. wewe au yeye wote siwajuo na hamnijui..

Jione ulivyo eti nisake limamba lako uchwara na ID mpya kama vile nina faida nitapata kutoka kwako mtukanaji.. Kwenda huko umeniboaaaaa koma kunitag or quote. Jiongo likubwa nikusumbue una nini haswa.. kumbe umepotezewa na rafiki unadandia kunitukana.. kwenda huko hata now piga block... janaume bomu bomu bomu..jipige vibao vya usoni ulie kabisa
 
Hahahaha, msamehe bure huyo kiumbe
 
Back
Top Bottom