Kajala hii sio namna ya uvaaji katika runinga

Hawa Bongo movie ndomaana wanaitwa makahaba yani hawajitambui kwakifupi na akiona huu uzi kesho atavaa kituko zaid akidhani anamkomesha mtoa mada
Kuna msanii aliimba makahaba wenye viwango wapo bongo movie.
 
Unataka aishie kutangaza Biko tu.......!

Hata hivyo mbona yuko sawa na amenivuta hata mimi wiki lijalo nataka nicheze na nikishinda zawadi lazima aniletee yeye,wengine sichukui.
Wabongo bure nguvu za chips unaweza inua hilo guu kama la tembo hata pichimi yake ni nene kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…