Kajala hii sio namna ya uvaaji katika runinga




Hamna sababu yoyote kuku chukia sinaga historia ya kuchikia MTU tabia zako ntazinyoosha ulivyoambiwa asie funzwa na mama atafunzwa na walimwengu kwenye hao walimwengu me ni mmoja ntanyoosha huo mdomo.
 


Acha Nile zangu band unanipotezea Concetration
 
Si ni binadamu au
Kila vazi lina mahali pake huwezi vaa vile kisha ukaingia shamba na jembe au umewahi muona mtu kavaa vile viatu [emoji151] [emoji151] [emoji151] kisha apite barabara za mabonde kuinama kama makongo juu?
 



Sijipendi ndo akili imeishia hapo.

Kuna kamnyama kamoja porini kanaitwa mamuku yani mbishi kama wewe.

Ongea na makonda akutafutie mwanaume wa kisukuma ndo utashika adabu na hicho kiburi chako na uzandiki vitaisha.
 
Sijipendi ndo akili imeishia hapo.

Kuna kamnyama kamoja porini kanaitwa mamuku yani mbishi kama wewe.

Ongea na makonda akutafutie mwanaume wa kisukuma ndo utashika adabu na hicho kiburi chako na uzandiki vitaisha.

Nilikusoma earlier sikukujibu kwa sababu niliamua kukuacha umalizie.. ila eeeeeh hii nikuimisi kunisoma hadi umerudi tena na maneno haya eeeeeeh. Haya nimekuandikia pata usingizi mnono basi ati.. ha ha haaaa umeonyesha huo umamuku wewe eeeeh tangu uandike sikukutoka kichwani umerudi huyo eeeeh kuniquote tena eeeeh.. pokea na busu kwa kuwa muwazi kwa kumisi kujibizana na Cocochanel na ujue utabarikiwa kupata mwaka mpya mwema dogo wewe umri wako wa kusoma na RC wewe ni mdogo kwangu ha ha haaa

Sasa wewe si unamjua Makonda na kwa kuandika ulisoma nae na ni rafiki yako.. mimi niongee nae najuana nae kutokea wapi!!.. humu nilimshabikia tu then kama mshabiki na ni uamuzi wangu.. hakuna aliyenituma nimetenda wema nimemaliza na mwaka ndio unaishia huoooo.. naona unataka mwanamke wa kisukuma kamwambie akutafutie mkionana.. sawa..eeeeh uwe ndugu na wasukuma kabisa hata upatiwe wa kutoka Chato itapendeza zaidi

Eeeeh

Kama nakuona umefurahia nimekujibu.. haya usingizi mnono sijui mchana mwema uko ulipo maana masaa yako yamekaa kama sio ya TZ labda kama wewe ni wizard.. eeeeeeh
 
Mkuu wengine ndio tunavutiwa na huo uvaaji [emoji39]
 
Kajala ni mzuri sanaa, kajaa kila kona. Hapo bongo movie sidhani kama kuna anaemkuta.
Mmh we unataka waandamane bongo muvi
Shamsa alisema irene uwoyo ndo anaongoza bongo muv kwa uzuri ,wenzie wakamjia juu!

Btw kajala wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…