chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Jiongeze basi hata kama ni kuwa ulivyo basi jipende uachane na 2G jamani.. kujidai kote unasukuma posts 10 kwa mpigo inayohusu kunijibu shaaaa
Wee endelea kupenda watoto na uwalee vyema.. siku moja utaniambia umebarikiwa wangapi.. ila uache ubairi hata wa kopa kopa unayopata jipende kwanza.. uishi kwa raha tunaishi mara moja kumbuka.. sawa baba roho mbaya unayenichukia kama vile sijui nini
Hamna sababu yoyote kuku chukia sinaga historia ya kuchikia MTU tabia zako ntazinyoosha ulivyoambiwa asie funzwa na mama atafunzwa na walimwengu kwenye hao walimwengu me ni mmoja ntanyoosha huo mdomo.