Kajala kapata kazi benki

Kajala kapata kazi benki

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni.

Hongera dada katika safari yako mpya

kajalafrida_245991733_213481700881115_5484577945720627422_n.webp.jpg
kajalafrida_246283381_6177809972290590_7181886075039974447_n.webp.jpg
 
Back
Top Bottom