MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Alikuwa location wanarekodi move, tutarajie kukuona kwenye move ukiwa unahudumiwa na KajalaLeo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako mpya
View attachment 1978706View attachment 1978708
Hili jambo ni lakujadiliSasa sababu za kibiashara kivipi wabongo kwa ushamba bwana nyie ndo mkiwa viongozi mnasema mtu asipige picha kwenye pantoni na Daraja la kigamboni eti kwa sababu za kiusalama.
Tena kwa mwiko wa kupikia ugali msibaniHuko bank si atapakuliwa sana huyo
Bank ya Damu.Labda amepata kazi kwny ofisi za Sperm Bank.