kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Apr 13, 2022 #61 Magna Carta said: Sina hakika, dawa wanakunywa wengi Click to expand... Nani mwingine maarufu ni mnywa dawa mkuu?
Magna Carta said: Sina hakika, dawa wanakunywa wengi Click to expand... Nani mwingine maarufu ni mnywa dawa mkuu?
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Apr 13, 2022 #62 kyagata said: Hivi nawe huwa unafunga mkuu? Click to expand... Ndio mkuu, ila hua nafunga na kufuli moja maana fundi alikosea kuweka kitasa...😎
kyagata said: Hivi nawe huwa unafunga mkuu? Click to expand... Ndio mkuu, ila hua nafunga na kufuli moja maana fundi alikosea kuweka kitasa...😎
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Apr 14, 2022 #63 Au ndio wewe kajala umejianzishia mada 😂
Magna Carta JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 4,347 Reaction score 6,652 Apr 14, 2022 #64 kyagata said: Nani mwingine maarufu ni mnywa dawa mkuu? Click to expand... Ukiwajua itakusaidia nini?
kyagata said: Nani mwingine maarufu ni mnywa dawa mkuu? Click to expand... Ukiwajua itakusaidia nini?
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Apr 14, 2022 #65 Magna Carta said: Ukiwajua itakusaidia nini? Click to expand... Wewe ulivyowajua imekusaidia nin?au nawe ni mnywa dawa?maana sio kwa mihasira hiyo
Magna Carta said: Ukiwajua itakusaidia nini? Click to expand... Wewe ulivyowajua imekusaidia nin?au nawe ni mnywa dawa?maana sio kwa mihasira hiyo