Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,368
- 2,108
Tena ya hatari...Mi mmeshafanya niogope uzi wangu... nawaachia ukumbi....nalog off
Usiondoke bhana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ya hatari...Mi mmeshafanya niogope uzi wangu... nawaachia ukumbi....nalog off
Sorry kama sio wewe basi nimechanganya
nakumbuka uliwahi anzisha thread hapa JF ukitaka wauza madawa wote watajwe
na tusiwaogope wala kuwaonea haya....au sio wewe?
Imenibidi niseme hayo ili kuwakatisha tamaa wenye chuki binafsi zao........najua wewe ni team mama mzungu so najua maoni yako lazima yawe na mrengo wa kule kule!! Huyu mdada ana mafanikio so wadada wa mjini wameamua kumtafutia sababu ili kudevalue mafanikio yake. wana chuki binafsi sana. Hata kama ni sembe ameuza yeye? why kumchafua mtu bila sababu?Kwani wana ushahidi wa wayasemayo?
Usiondoke bhana....
huwezi amini
mimi na huyo unayemsema ni watu wawili tofauti
ingawa still kuna watu wana mix
mimi nilianza tumia hii avatar so nimeshindwa kuibadili
nimezoeleka nayo sana humu..
Muwacheni dada wa watu na heshima zake. Wivu tu mjini hapa kisa kapata mume tena wa ndoa mwenye mahela yake....(hata kama ya sembe as far as tukienda kununua hakuna alama ya kutofautisha za sembe na zisizo na sembe). Mwaka huu shamimu amewakimbiza na atawakimbiza mbaya haters. Ombeni Mungu na nyie muangukie mihela na sio kuwa na chuki binafsi. Mama endelea na kampeni ya mambo ya kilimo dear MWISHO HATERS WATAKUWA BELIEVERS!!!!!!
Ukweli kabisa dada amewazidi wadada wengi wa mjini kwa utulivu wake, hekima na hana mda wa kipumbavu wa kujibizana kipumbavu....zaidi ya yote Mungu akammwagia mahela hayooooooooooo (hata mkiyatolea sababu kwamba ni ya sembe mbona zenu chafu za umalaya hamzitaji??) na kuwafanya asiwakauke midomoni mwenu. Kweli riziki mwanzo wa chuki. Mama mzungu et al mtahangaika sana dada wa watu yake yanamnyookea.........
teh!teh! hao bwana we ukiweka title tu wao wanamalizia habari yote!chezea wajukuu wa eva weye !adam mwenyewe kakoma !Mimacho imenitoka hata sijui nini kinaendelea tena....Uzi unamuhusu Kajala masanja hayo mengine yanatokea wapi tena.......Kina mama mna mambo nyie..............
huwezi amini
mimi na huyo unayemsema ni watu wawili tofauti
ingawa still kuna watu wana mix
mimi nilianza tumia hii avatar so nimeshindwa kuibadili
nimezoeleka nayo sana humu..
Imenibidi niseme hayo ili kuwakatisha tamaa wenye chuki binafsi zao........najua wewe ni team mama mzungu so najua maoni yako lazima yawe na mrengo wa kule kule!! Huyu mdada ana mafanikio so wadada wa mjini wameamua kumtafutia sababu ili kudevalue mafanikio yake. wana chuki binafsi sana. Hata kama ni sembe ameuza yeye? why kumchafua mtu bila sababu?Kwani wana ushahidi wa wayasemayo?
Shoga alotukanana na sintah ni shilole (umbea wataka umakini best). Kajala wanavyodai (wambeya wa mji) kwa sasa anawekwa mjini na mume wa shamimu. Eti mapenzi moto moto......ila nahisi wanataka tu kumuumiza dada wa watu moyo kisa ameokota mijihela si unajua mjini watu hatutakiani heri? watu wa dunia wanafurahi kukuona unahangaika miaka nenda rudi.....
N Mitusi anayokoga kajala leo Instagram si mchezo
Kalamba bwana wa mtu china
Wanawake wanakaZi
huwezi amini
mimi na huyo unayemsema ni watu wawili tofauti
ingawa still kuna watu wana mix
mimi nilianza tumia hii avatar so nimeshindwa kuibadili
nimezoeleka nayo sana humu..
Mimi natokea huku usukumani ndani kabisa. Hizi habari za mjini huwa zinatupita hata hii kompyuta nimefundishwa na mtoto wa Mwalimu hapa kijijini:
Hivi mtu anaposema 'team mama mzungu' anamaanisha nini?
Na je 'mume ya blogger' ndo nini?
Halafu kuna mtu kasema 'what goes around comes around'..hapa imekusudiwa nini?
huwezi amini
mimi na huyo unayemsema ni watu wawili tofauti
ingawa still kuna watu wana mix
mimi nilianza tumia hii avatar so nimeshindwa kuibadili
nimezoeleka nayo sana humu..
Tatizo langu hapa nawaza kupika vitumbua na kuokota mayai kwa kuku, yakivunjika tray nadata nasahau umbeya.
kuna siku nilikutana na video ya shamimu amerekodiwa na mwanae bwana, anamtukana sijui nani. Woooii. Shilole ndo hata simjui nimeona anakata viuno tu, hayo mamakeup kama shetani nikimuona tena wala sitomkumbuka.
nimekaa na wachaga wameniharibu akili, khaa
wewe utakuwa mrs sembe mwingine maana mpo wengii.................povu limekutoka!
wivu wivu hee nan hana maisha yake hapa!
ukweli ndio huo what goes around comes back....! mjipange.
Muwacheni dada wa watu na heshima zake. Wivu tu mjini hapa kisa kapata mume tena wa ndoa mwenye mahela yake....(hata kama ya sembe as far as tukienda kununua hakuna alama ya kutofautisha za sembe na zisizo na sembe). Mwaka huu shamimu amewakimbiza na atawakimbiza mbaya haters. Ombeni Mungu na nyie muangukie mihela na sio kuwa na chuki binafsi. Mama endelea na kampeni ya mambo ya kilimo dear MWISHO HATERS WATAKUWA BELIEVERS!!!!!!
Unamsifia tu huyo shamimu sijui shoga yako? Ndoa ya kwanza ilimshinda, unajua kwa nini?
Wadada wa mjini sijui dada wa mjini morogoro huyo kwa kupenda pesa, hadi kaamua kumuacha baba Iqra kwa ajili ya pesa.
Na kashajibebesha mimba, analo hilo! Wanaume wenyewe hao wa pesa ya sembe, kila sehemu wanaonja.
Shukuru tu kawekwa ndani anamfulia mume pichu. Anajifanya msafi hana usafi wowote.
Hivyo ule ugomvi wa sintah na mke wa mzungu yeye Shamimu si ndio mchonganishi!!