Kajala Masanja simuelewagi

Acha apelekewe [emoji91] Tu, akiharibika ww itakuhathiri nn Mkuu?
 
Binti ambaye ni zao la mama bongo muvi baba bongo fleva hapo unatarajia binti awe na tabia za aina gani?

Bongo muvi na bongo fleva wakizaa mtoto anakuwa na tabia gani kwani?!

Mtoto wa nyoka ni nyoka!
Mtoto atakua( mufleva)
 
Honestly huyu binti hata miaka 20 hajafika tayari kwanza uhuni..sijui huko mbele itakuaje.
Tena watu wenyewe wahuni wa wcb
Uhuni ni nn, miaka 18 ni mingi sana kwa mtoto wa kike kuliwa na jamaa hata 5 akiwa na mpangilio mzuri
 
Uhuni ni nn, miaka 18 ni mingi sana kwa mtoto wa kike kuliwa na jamaa hata 5 akiwa na mpangilio mzuri
Ishu sio kuliwa.ishu analiwaje
Na uhuni ni kudate na muhuni anaetembea suruali iko chini ya matako anavaa hereni na kusuka.angekua binti yako ungekuwa proud kumkabidhi kwa mwanaume kama huyu?
ambae kashachezea wengi na akiwachoka hajiulizi Mara mbili anawaacha,wengine kawazalisha kabisa.
Zaidi hajali hata akurekodi mkiwa unafanya mapenzi halafu akapost insta,kwake sio ishu sababu ni muhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…