Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ' shopping ' Mlimani City ambapo watu walikuwa wakiwakodolea macho kwa jinsi alivyolingana na mtoto wake .

Kajala alitinga eneo hilo na mtoto wake huyo aitwaye Paula ambapo awali walienda kupata chakula katika mgahawa wa SamakiSamaki na kisha waliingia ndani kwa ajili ya kufanya manunuzi mengine.

"Kwa kweli Kajala amekuza maana yeye na mtoto wake wamelingana sasa na mara nyingi kwa sasa hivi wanaongozana huku wakionekana kuwa na furaha wakati wote, " alisikika mtu mmoja akizungumza .

Kajala alipozungumza na mwandishi wetu alisema kuwa hakuna kitu kinachompa furaha kama mtoto wake huyo na anapoongozana naye anazidi kufurahi zaidi .
 
Attachments

  • 1415266157977.jpg
    1415266157977.jpg
    72.8 KB · Views: 5,820
huyu mtoto weupe sijui umeends wapi?!wa babake
 
Hongera Kajala umekuza kweli wenzako mimba wanazifyatua wengine wanatupa watoto
 
Imelda nae mbeya, apo unataka kumrusha roho mama ubaya tu huna lolote, sasa apo cha ajabu nn?? Wema mwaego pole wasikuzingue hao na wewe beba mbwa wako ukauze nae sura mliman city

Hhhhaaaaaaaa kajala awe busy na mwanae tu sio marafiki wapuuzi kusemana tuuu
Utaona kajibu ataenda na mbwa wake China kumfanyia surgery ya uso afanane nae
 
Huyo mtoto Ana miaka mingapi? Na make up hizo yailahi....
 
huyu mtoto weupe sijui umeends wapi?!wa babake

Anamuongezeamo na tumakeup. Ukimuona live bila makeup full chunusi zile ndogondogo kavu. Alafu rangi si saaana. Mtoto Mdogo si vyema kujazwa makeup. Ila ni mzuri.

Darasani ndio nasikia alikuwa mkia. 5 mbaya hakosi.
 
Hhhhaaaaaaaa kajala awe busy na mwanae tu sio marafiki wapuuzi kusemana tuuu
Utaona kajibu ataenda na mbwa wake China kumfanyia surgery ya uso afanane nae

Sasa hakuna mmbea Kama kajala. Anatumia ukimya kuficha maovu. Hadi walimchoka wakamrikodi akifilimba umbea
 
Una uhakika kama biological Father ni P Funk?

sijui ila nilionaga picha akiwa mdogo ni mweupe sana na alikua kafanana na pfunky
sijui labda haikua picha ya paula walidanganya
 
Anamuongezeamo na tumakeup. Ukimuona live bila makeup full chunusi zile ndogondogo kavu. Alafu rangi si saaana. Mtoto Mdogo si vyema kujazwa makeup. Ila ni mzuri.

Darasani ndio nasikia alikuwa mkia. 5 mbaya hakosi.

cognitve ya mtoto ina 2 factors:
urithi na mazingira
yaweza kua wazazi hamna kitu kichwani hasa mama na hvyo k anavyomlea km willo baas acha aongoze mtumbwi wa vibwengo
 
Back
Top Bottom