Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Hahaha ni baba ni Juma nature....Pfunk once said " I was able to take kajala from the street but I wasn't able to take the street out of her"

mswahili mswahili tuuu!!!
wengine shule ndo zimetuokoa na kupata wazazi wapenda shule na wenyewe kupenda kusoma
kumejifanya tujielewe na kuhama mazingira na kumingle na marafiki wakishuleshule na sasa hv makazini
huo ni ukweli ssasa kajala shule hana na marafiki ndo walewale waliokimbia shule
nini kinazaliwa...?!!!!
 
cognitve ya mtoto ina 2 factors:
urithi na mazingira
yaweza kua wazazi hamna kitu kichwani hasa mama na hvyo k anavyomlea km willo baas acha aongoze mtumbwi wa vibwengo

Amemuweka holela Sana ndo maana class hazingatii hadi anarikodiwa clip za uchi. Usipojipanga anayo clip alitaka kuiweka watu wakamuombea poo
 
Hahaha ni baba ni Juma nature....Pfunk once said " I was able to take kajala from the street but I wasn't able to take the street out of her"

Please forgive me. ........... Kajala......from line police oysterbay.
Kidume Paul alfan aliamua kufunguka.
 
Huyu mtoto anapenda kumuanika anika mitandaoni......., hajui siku hizi wakware wengi
 
Please forgive me. ........... Kajala......from line police oysterbay.
Kidume Paul alfan aliamua kufunguka.
Alimaanisha tabia zake ndo mbaya. Mbona watu kibao wanalelewa uswazi manzese ila wako na tabia nzuri tu
 
Sijawah hata siku moja kukuona unamuongelea vizuri kajala loooo nomaa

Shogangu sema ukweli kutoka moyoni si alirikodiwa akizogoa zogoa? Hahaha siwezi mpenda kajala kwani full unafiki. Me Nina allergy na ma two in one
 
Mweeeh

mswahili mswahili tuuu!!!
wengine shule ndo zimetuokoa na kupata wazazi wapenda shule na wenyewe kupenda kusoma
kumejifanya tujielewe na kuhama mazingira na kumingle na marafiki wakishuleshule na sasa hv makazini
huo ni ukweli ssasa kajala shule hana na marafiki ndo walewale waliokimbia shule
nini kinazaliwa...?!!!!
 
Kajala ajitahidi awe mama mwema asije kuwa tu kama mama wema anayefurahia mtoto wake kujiuza..
 
Shogangu sema ukweli kutoka moyoni si alirikodiwa akizogoa zogoa? Hahaha siwezi mpenda kajala kwani full unafiki. Me Nina allergy na ma two in one

Hhhhhhaaaaa,kwan wema hajawah kumsema vibayaa kajala hao wanajuanaa
Lakini we unampendaga sana Wema tuachie na sie tumpende kajala kidogo asione katengwaaa
 
Imelda nae mbeya, apo unataka kumrusha roho mama ubaya tu huna lolote, sasa apo cha ajabu nn?? Wema mwaego pole wasikuzingue hao na wewe beba mbwa wako ukauze nae sura mliman city
Hahahahaaaaa. .. Warumi wewe ni noma aisee. ..hihihihiiiiiiii u made me today. Kwaakwaakwaaaaaaa...... duh nimecheka sana
 
Back
Top Bottom