Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Nimesoma paragraph ya kwanza tu nikagundua kuwa ninauwezo wa kuandika gazeti zima sampuli hii kwa masaa manne tu na gazeti likafaa kuuza mtaani
 
Huyu mtoto wameshaanza kumtafuna stori zake zitakuja siku so nyingi
 
Sana aisee.... alizua bonge la bifu kwa mabinti ikiwemo mdogo wa miss tz no 2 na binti fulani..



yule kijana alikua anapiga sana madada enzi zile ndo mtoto wa mjini madj wa bills pale full kuopoa siku za ladies free
 
zero tena...billz zero brain ndo wanatamba...wenyewe walikuwa wanapaita kwa kakobe...

siku moja nikamzingua mama nkamwambia ma mi nataka niende zero brain
akaniambia ukienda usirudi nilicheka hadi bass
 
Hivi jamaniii mwanaFA hua anazinyoa nyusi yaaan ni sheeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…