Ina maana hanaga nyusii eti
mi namuonaga hvyo hvyo siku zote ngoja waje wataalamu hapa watatuambia
Huyu mtoto wameshaanza kumtafuna stori zake zitakuja siku so nyingi
Tatizo kajala anamuanika sana bintiye...
Na wanaume ni mafisi hawachelewi kumharibu
ndo huyo huyo na alivyopata mimba mahaba yakaisha
pfunky nyoko
Ila Munira anashepu tatizo mfupi
mpenzi ulikua wapi jamani jana nimekumis kweli
....aisee humu nyoko.
Naogopa
mbaya zaid anamfanya kama shosti hiyo ni mbaya sana kwenye malez....atakuwa hawez kumdiscipline pale anapokesea..anamuingiza kwenye adulthood kabla ya wakati
Hahahaha ukute tunajuana sema hizi I'd zinaficha
watoto wa forodhani niligonga munira na mgole...watoto wakali
mgole nampata sana
nae alikua ndo walewale alikua anakaa GG yule kuna siku aligombana na dada mmoja kisa mshkaji flani
Ila Munira anashepu tatizo mfupi
Foridhani kulikua na watoto balaa kuna mmoja anaitwa Tuma rafiki yake munira....pia kulikua na mtoto Farhat aisee watoto walikua watamu wakikuona na ndinga kali ushamaliza kazi zamani magari ya mkopo hakuna
forondo walikuwaga wakali sana jangwani nako kulikuwaga na madenti watata pale kina renalda,grace nk kina joyce swai na toops lake JAYJOKS,WAKISHUSHWA kuna toops la wakaka hao walikua km saba wao kazi yao kuharibu madenti wa mjini tu
Joyce Swai nampata vizuri....daah hivi na ww sijakupitia ama ulikua wa ki local
hahaaaaaa...!!!
weee mi nlikua mhuni sana kisheshule!!!
umenifurahisha sana nimecheka kwa nguvu mno