Hahaha ni baba ni Juma nature....Pfunk once said " I was able to take kajala from the street but I wasn't able to take the street out of her"
cognitve ya mtoto ina 2 factors:
urithi na mazingira
yaweza kua wazazi hamna kitu kichwani hasa mama na hvyo k anavyomlea km willo baas acha aongoze mtumbwi wa vibwengo
Amemuweka holela Sana ndo maana class hazingatii hadi anarikodiwa clip za uchi. Usipojipanga anayo clip alitaka kuiweka watu wakamuombea poo
Halo haloooooio asie na mwana abebe mbwaa ndo nishasema ...
Hutaki pita hiviiiiiiiiiiu
Hahaha ni baba ni Juma nature....Pfunk once said " I was able to take kajala from the street but I wasn't able to take the street out of her"
Sasa hakuna mmbea Kama kajala. Anatumia ukimya kuficha maovu. Hadi walimchoka wakamrikodi akifilimba umbea
Alimaanisha tabia zake ndo mbaya. Mbona watu kibao wanalelewa uswazi manzese ila wako na tabia nzuri tuPlease forgive me. ........... Kajala......from line police oysterbay.
Kidume Paul alfan aliamua kufunguka.
Sijawah hata siku moja kukuona unamuongelea vizuri kajala loooo nomaa
mswahili mswahili tuuu!!!
wengine shule ndo zimetuokoa na kupata wazazi wapenda shule na wenyewe kupenda kusoma
kumejifanya tujielewe na kuhama mazingira na kumingle na marafiki wakishuleshule na sasa hv makazini
huo ni ukweli ssasa kajala shule hana na marafiki ndo walewale waliokimbia shule
nini kinazaliwa...?!!!!
Shogangu sema ukweli kutoka moyoni si alirikodiwa akizogoa zogoa? Hahaha siwezi mpenda kajala kwani full unafiki. Me Nina allergy na ma two in one
Halo haloooooio asie na mwana abebe mbwaa ndo nishasema ...
Hutaki pita hiviiiiiiiiiiu
Hahahahaaaaa. .. Warumi wewe ni noma aisee. ..hihihihiiiiiiii u made me today. Kwaakwaakwaaaaaaa...... duh nimecheka sanaImelda nae mbeya, apo unataka kumrusha roho mama ubaya tu huna lolote, sasa apo cha ajabu nn?? Wema mwaego pole wasikuzingue hao na wewe beba mbwa wako ukauze nae sura mliman city
kashajua kupaka na shedo paula mmmmmh haya
Shedo ndio nini!?
lipstick
Mrembo by Nature mi nampenda sana kajala toka enzi anasoma jamani mpk kumpiga rayc
ila sio mama mzuri
Hahahaaaaaaaa
Hehh lini tena?lipstick
Mrembo by Nature mi nampenda sana kajala toka enzi anasoma jamani mpk kumpiga rayc
ila sio mama mzuri