Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Basi atulie amuachie mwanae uwanja manake itafika mahali watajikuta wanachanganywa na wanaume
ndo wanakoelekea huko huko!!
mtoto hasomi anapata kiswahiliC...?!!!
sayansi D...?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi atulie amuachie mwanae uwanja manake itafika mahali watajikuta wanachanganywa na wanaume
sio munira huyoo...?!!
maana kuna demu alikua anaitwa munira nae alipinda hatariiiii!!!
ndo wanakoelekea huko huko!!
mtoto hasomi anapata kiswahiliC...?!!!
sayansi D...?!!
He he mkuu si unitaje tu heheDuh! kuna mmoja amemvalia njuga huyo kajala humu mwanzo mwisho anaye.
Eeeh Wengine mayai wanayalia chips....hongera zake kakuzaaa...
Alafu kumbe kajala ni MTU mzima tu anaamua kujibebisha. Sasa hivi amegeuka kuiba mabwana na kuwachuna. We MTU alikuwa na CK still akawa na nsembo wa shamimu si maana take haridhiki
cognitve ya mtoto ina 2 factors:
urithi na mazingira
yaweza kua wazazi hamna kitu kichwani hasa mama na hvyo k anavyomlea km willo baas acha aongoze mtumbwi wa vibwengo
sio munira huyoo...?!!
maana kuna demu alikua anaitwa munira nae alipinda hatariiiii!!!
ndo wanakoelekea huko huko!!
mtoto hasomi anapata kiswahiliC...?!!!
sayansi D...?!!
Yupo kibiashara zaidi
K na Ndogo ni mtaji
munira liyesoma forodhani???
Mwarabu koko??
Hahahah mwanamke una maneno wewe
Ila huu uzi umenipitaje...na umejaa umbea motomoto
huyo huyo mdada yule jamaniiii
Kuna watu failure zao za maisha wanataka kuhamishia kwa wengine unaacha nao tu isitoshe kule siku hizi hakuna mijadala ya siasa ni kijiwe cha majobless. (Siyo wote)Hilo jukwaa la siasa lilimshinda hadi mheshimiwa chief Matola unataka watu wakose hewa wafe kabla ya muda eehh?
Unashangaa?Duhh uchi?? Basi makubwaaa
Haikuwa gumzo, labda ulikuwa huji Pink coconut club na kwenye beach party. Head Master wa Jiteute alikuwa Kanal Phabian Masawe.Uchi uchi jamani kama wewe hukusoma ezi za miaka ya 90 mwishoni o level watafute walosoma enzi hizo waulize kajala alikua akifanya nini kwenye ma concert. na concert kwa watoto wa dar enzi hizo ndio ilikua gumzo . Alikua na shoga yake mmoja ivi mwarabu koko uyo nae alikua mtambo hatari walikua wakichojoa wote
P Funk mwenyewe unamuona zimo? Unajuwa maana ya hilo jina majani?Pfunk aliushindwa huu mfupa why amuache kajala alee huyu binti_? Kwanza sijawahi ona ameposti akiwa anaposti binti zake...labda km Mimi ndo sijawahi ona
Enzi za Mobitel tuna misimu kama mche wa sabuni mshindi Analog no bluetooth.Naomba nirudie tena K waziwazi Hakukuwa na wapiga picha?
Shigongo alikuwa anaimba kwaya tu.enzi zile kulikua hakuna simu km hizi za sasa
na shigongo ameanza2002km sikosei hvi!!
Duh! kuna mmoja amemvalia njuga huyo kajala humu mwanzo mwisho anaye.
Hhhhaaaaaaaa kumbeee alipewa kichapo heavy eeeee, ila mimi nalipenda li kajala mpaka nahis baridi u know le mbebezzzz mukarezz unajuaaa eee
We hunishindi nampenda sana kajala
ilikua gumzo kwa wanafunzi wa sec. Kipindiicho maana ilikua karibu kila wiki leo jagwani kesho zanaki keshokutwa azania mara nyingine msasani beach .....sio kila sehemu lazima niendeKuna watu failure zao za maisha wanataka kuhamishia kwa wengine unaacha nao tu isitoshe kule siku hizi hakuna mijadala ya siasa ni kijiwe cha majobless. (Siyo wote)
Unashangaa?
Haikuwa gumzo, labda ulikuwa huji Pink coconut club na kwenye beach party. Head Master wa Jiteute alikuwa Kanal Phabian Masawe.
P Funk mwenyewe unamuona zimo? Unajuwa maana ya hilo jina majani?
Badly mama yake P Funk naye dakika mbili mbele ila nitamkumbuka kwa favour za air ticket za bei ya mwanafamilia za KLM.
Enzi za Mobitel tuna misimu kama mche wa sabuni mshindi Analog no bluetooth.
Shigongo alikuwa anaimba kwaya tu.