Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Duh! kuna mmoja amemvalia njuga huyo kajala humu mwanzo mwisho anaye.
 
Sema nido za kajala chaliiii dah halafu huo mkwaju unafanana sana na majani! Dah namaugwadu kinoma!
 
Yupo kibiashara zaidi

K na Ndogo ni mtaji

Alafu kumbe kajala ni MTU mzima tu anaamua kujibebisha. Sasa hivi amegeuka kuiba mabwana na kuwachuna. We MTU alikuwa na CK still akawa na nsembo wa shamimu si maana take haridhiki
 
cognitve ya mtoto ina 2 factors:
urithi na mazingira
yaweza kua wazazi hamna kitu kichwani hasa mama na hvyo k anavyomlea km willo baas acha aongoze mtumbwi wa vibwengo

@ganiveros

Maneno yako kama yana ukweli ndani ake
 
Hilo jukwaa la siasa lilimshinda hadi mheshimiwa chief Matola unataka watu wakose hewa wafe kabla ya muda eehh?
Kuna watu failure zao za maisha wanataka kuhamishia kwa wengine unaacha nao tu isitoshe kule siku hizi hakuna mijadala ya siasa ni kijiwe cha majobless. (Siyo wote)
Duhh uchi?? Basi makubwaaa
Unashangaa?
Uchi uchi jamani kama wewe hukusoma ezi za miaka ya 90 mwishoni o level watafute walosoma enzi hizo waulize kajala alikua akifanya nini kwenye ma concert. na concert kwa watoto wa dar enzi hizo ndio ilikua gumzo . Alikua na shoga yake mmoja ivi mwarabu koko uyo nae alikua mtambo hatari walikua wakichojoa wote
Haikuwa gumzo, labda ulikuwa huji Pink coconut club na kwenye beach party. Head Master wa Jiteute alikuwa Kanal Phabian Masawe.
Pfunk aliushindwa huu mfupa why amuache kajala alee huyu binti_? Kwanza sijawahi ona ameposti akiwa anaposti binti zake...labda km Mimi ndo sijawahi ona
P Funk mwenyewe unamuona zimo? Unajuwa maana ya hilo jina majani?
Badly mama yake P Funk naye dakika mbili mbele ila nitamkumbuka kwa favour za air ticket za bei ya mwanafamilia za KLM.
Naomba nirudie tena K waziwazi Hakukuwa na wapiga picha?
Enzi za Mobitel tuna misimu kama mche wa sabuni mshindi Analog no bluetooth.
enzi zile kulikua hakuna simu km hizi za sasa
na shigongo ameanza2002km sikosei hvi!!
Shigongo alikuwa anaimba kwaya tu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu failure zao za maisha wanataka kuhamishia kwa wengine unaacha nao tu isitoshe kule siku hizi hakuna mijadala ya siasa ni kijiwe cha majobless. (Siyo wote)

Unashangaa?

Haikuwa gumzo, labda ulikuwa huji Pink coconut club na kwenye beach party. Head Master wa Jiteute alikuwa Kanal Phabian Masawe.

P Funk mwenyewe unamuona zimo? Unajuwa maana ya hilo jina majani?
Badly mama yake P Funk naye dakika mbili mbele ila nitamkumbuka kwa favour za air ticket za bei ya mwanafamilia za KLM.

Enzi za Mobitel tuna misimu kama mche wa sabuni mshindi Analog no bluetooth.

Shigongo alikuwa anaimba kwaya tu.
ilikua gumzo kwa wanafunzi wa sec. Kipindiicho maana ilikua karibu kila wiki leo jagwani kesho zanaki keshokutwa azania mara nyingine msasani beach .....sio kila sehemu lazima niende
 
Back
Top Bottom