Kajala na Clement Mambo Hadharani

Mchuma janga???ukimalizia utapata jibu
 
Yani sijaelewa kitu yote umbeya tu. Ushahidi UK wapi kuwa kajala yupo name ck? Wekeni picha siyo kuweka ya kajala pekeyake. Ushahidi no UPI?
 
Yani sijaelewa kitu yote umbeya tu. Ushahidi UK wapi kuwa kajala yupo name ck? Wekeni picha siyo kuweka ya kajala pekeyake. Ushahidi no UPI?

Sista andika basi fresh sijakupata mazeee
 
nauliza tu jamani kwani wema kwa sasa siyupo palepale kwenye ile nyumba aliyopangishiwa na ck?mbona kama ndo ivyo?mwenye fact basi afunguke!
 
Mbona Kaka Mkuu anafanya Sehemu nyeti na ufirauni wake anafanya wazi wazi? Au unataka tukupe data one by One...SHTUKA KAKA..

Aiseeh nahis data zake nilizonazo hazitosh , ebu nigawie ubuyu kw pm binamu
 
nauliza tu jamani kwani wema kwa sasa siyupo palepale kwenye ile nyumba aliyopangishiwa na ck?mbona kama ndo ivyo?mwenye fact basi afunguke!

Kashahama kitambo , hapana chezea kk Clement
 
uyo clement walshaachana na mkewe... mkewe yupo dodoma. walgawana mal mkewe alpata 300ml akaenda zake idofomya...nae alv ----- akapata bwana uko wakaztumbua mpk zmeisha mpk ss ypo2 tuu kafulia.. na kpnd kle mke wa clement alpo mfanyia fujo wema walkua washaachana mda mrf sema kupoza machungu ya kufulia tuu.. ila kajala kabug meeen
 
Mi sipo instagram kabisaa

Basi wametusaidia kutufikishia ujumbe uko , ivi Uzi wa ommy dimpoz umefutw? Nilikuwa nataka Ku comment wanasema siruhusiw , maana watu wamempa vichambo vya haja , Mimi nae sio mtu mzuri aaah aaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…